Jude Bellingham Kiungo aliyekamilika kila idara (Complete Mildifilder)

Jude Bellingham Kiungo aliyekamilika kila idara (Complete Mildifilder)

Zirconium

Senior Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
196
Reaction score
254
Kumekuwa na ubishi sana kuhusu yupi kiungo bora kati ya Bellingham & Pedri na viungo wengine … takwimu za Jude 👇

• Magoli 6, pasi 1 ya mabao, mara 4 kuwa Mchezaji Bora wa Mechi (MOTM), mechi 6

• Mchezaji wa kwanza tangu Maradona kufunga mabao mawili (brace) katika uwanja wa Azteca.

• Mchezaji wa kwanza kufunga mabao mawili katika mechi mbili mfululizo za hatua ya mtoano tangu Maradona.

• Mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga mabao mawili katika mechi mbili mfululizo za hatua ya mtoano baada ya Pelé.

• Amefunga mabao mengi zaidi kuliko Rooney katika mashindano makubwa ya kimataifa.

• Kiungo wa kwanza kufunga mabao 5 au zaidi kwa timu ya taifa ya England katika Kombe la Dunia.

• Ndyo mchezaji bora kwenye mashindano ya kombe la dunia 2026 pia aliwahi kuwa mchezaji bora wa msimu Laliga & Bundesliga akiwa na miaka 22 tu

• Bermigham City walistaafisha Jezi 22 baada ya Jude bellingham kuondoka akiwa na miaka 17 kuelekea BVB
 
Attachments

  • IMG_8714.jpeg
    IMG_8714.jpeg
    556.5 KB · Views: 13
kijana vipi umeshalewa? complete midfielder gani anaechaze No 10 akashindwa hata kutengeneza nafasi za magoli kwa wenziwe?
Jamaa anavizia kuliko hata striker.
 
kijana vipi umeshalewa? complete midfielder gani anaechaze No 10 akashindwa hata kutengeneza nafasi za magoli kwa wenziwe?
Jamaa anavizia kuliko hata striker.
MTU anavyosema complete hamaanishi best kushinda wote Bali ana vitu vyote,

Beligham ana Drible kushinda hata mawinga, anakaba, anafunga, hata hizo assist unazomkandia anatoa, ana close control nzuri hivyo ni press resistance, ni physical ana Nguvu za kutosha kutomtoa kwenye reli, off ball movement zake sio inferior kwa striker, anacheza position zote za midfielder na hata wasio midfield etc.

Jamaa ni definition ya complete player
 
Ndio vitu pekee mlivyobaki mnajifariji navyo.

Yani kabisa upewe Pedri na Bellingham kwenye kiungo we uende na Bellingham?

Hata wewe mwenyewe huwezi kwenda Bellingham na unatambua hilo.
 
Sasa ukiacha ushabiki wa Madrid na Barca wewe na akili zako utamchagua Bellingham dhidi ya Pedri?

Labda kama umelewa.
Yes ten times

Bellingham mechi ya jana kaingia dakika ya 79 na alikamilisha dribbles 5

Wakati stats za Pedri za World Cup yote tangu ianze ana complete dribbles 4.

Mpaka hapo magician anajulikana, na roadrunner anajulikana.
 
  • Thanks
Reactions: K11

Kwahiyo dribble tano kwenye mechi moja ndio kigezo cha ubora wa mchezaji?
 
Haaland ana goli 7 na 0 assist kwenye hii WC.

Kwa kigezo chako kwenye ufungaji na assists Yuda Bolingo ni bora kuliko Haaland?
Wote hao ni bora ila Bellingham namba zina mbeba kulingana na position zao.

Pedri benchi ndio linambeba
 
Wote hao ni bora ila Bellingham namba zina mbeba kulingana na position zao.

Pedri benchi ndio linambeba
Harry Kane ana goli 6 na Yuda goli 7 nani bora kwenye ufungaji?
 
kwa kweli amekamilila if you know wat am sayin 🤣
 
Attachments

  • IMG_2628.png
    IMG_2628.png
    770.8 KB · Views: 13
Harry Kane ana goli 6 na Yuda goli 7 nani bora kwenye ufungaji?
Jibu ni lile lile

Factor inayombeba Bellingham ni nafasi yake

Mpaka hapo ushaona namba za Pedri hazifai kufanya comparison na kuanza kutafuta kwa wachezaji wengine.
 
Jibu ni lile lile

Factor inayombeba Bellingham ni nafasi yake

Mpaka hapo ushaona namba za Pedri hazifai kufanya comparison na kuanza kutafuta kwa wachezaji wengine.
Hapana mpira ni zaidi ya namba.

Kwenye mpira ukikomaa na namba tupu zinaweza zikakudanganya.

Mchezaji kuwa bora hatuangalii magoli na assists peke yake.

Dembele kashinda Ballon d'or 2025 huku akiwa na goli 8 na assists 6 kwa msimu wa UCL 2024.

Wakati huo Raphina ana goli 13 na assists 8 yeye na Guirasy walimaliza as top scorers.

Kwanini hakupewa Raphina au Guirrasy kama magoli na assists pekee ndio kigezo cha ubora?
 
Back
Top Bottom