Jude Bellingham Kiungo aliyekamilika kila idara (Complete Mildifilder)

Hapana mpira ni zaidi ya namba.

Kwenye mpira ukikomaa na namba tupu zinaweza zikakudanganya.

Mchezaji kuwa bora hatuangalii magoli na assists peke yake.

Dembele kashinda Ballon d'or 2025 huku akiwa na goli 8 na assists 6 kwa msimu wa UCL 2024.

Wakati huo Raphina ana goli 13 na assists 8 yeye na Guirasy walimaliza as top scorers.

Kwanini hakupewa Raphina au Guirrasy kama magoli na assists pekee ndio kigezo cha ubora?
Hicho ambacho kinazidi namba ndio mimi nakitaka unitajie ni kitu gani?

Kwasababu hoja ya tuzo ambazo hazizingatii namba kwangu sijawahi kuzihusudu kama ni mafanikio yenye uhalisia.

Tuzo inayotokana na kura hiyo kwangu sio tuzo kwasababu tuzo ilitakiwa itetewe na namba na sio ushawishi wako wewe kwenye box la kura.

Ushawahi kuona tuzo ya mfungaji bora inapigiwa kura au mjadala?

Ni kwasababu imejitosheleza kupitia namba.
 
Una maana Gani Kusema hivi 😁😁
Ndio hivyo ana World Cup tayari akiwa bench warmer.

Mashabiki wa Messi wanasema Messi ni GOAT mbele ya Ronaldo kwasababu ana World Cup.

Kwa maana hiyo watakuwa wanakubali kuwa Pedri ni GOAT mbele ya Harry Kane, Haaland, Bellingham, Kevin Debruyne.
 
Hicho ambacho kinazidi namba ndio mimi nakitaka unitajie ni kitu gani?

Kwasababu hoja ya tuzo ambazo hazizingatii namba kwangu sijawahi kuzihusudu kama ni mafanikio yenye uhalisia.

Tuzo inayotokana na kura hiyo kwangu sio tuzo kwasababu tuzo ilitakiwa itetewe na namba na sio ushawishi wako wewe kwenye box la kura.

Ushawahi kuona tuzo ya mfungaji bora inapigiwa kura au mjadala?

Ni kwasababu imejitosheleza kupitia namba.
Kwa kigezo cha namba unakubali Messi alistahili kuwa mchezaji bora wa kombe la dunia dhidi ya Rodri mwaka huu?
 
Kigezo cha mchezaji bora ni kigezo ambacho kimekuwa sehemu ya debate mpaka vikao vikalike.

Tuzo ya mchezaji bora inaweza kwenda kwa mtu hata asiye stahili kwasababu haipimiki katika mzani ambao umejitosheleza zaidi ya perceptions za wadau.

Mfano Messi kachukua MOTM kama 5 katika mechi 7, kwenye hizo mechi idadi ya magoli aliyofunga yanamuweka nafasi ya juu kwenye comparison ya ufungaji kuliko katika kigezo cha mchezaji bora.

Lakini kwasababu mchezaji bora ni ishu ya debate ndio maana unaweza kukuta mwenye MOTM 5 anakosa tuzo ya mchezaji bora dhidi ya mwenzake mwenye MOTM chini ya 5.

Kwenye magoli au assist hakunaga mjadala, tuzo inaenda kwa mtu sahihi.
 
Jibu swali acha longolongo.

Messi mwenye goli 8 assists 3 na Rodri ambaye hana goli wala assist hata moja nani alistahili uchezaji bora wa mashindano?

Kwa uelewa wako Jude ni bora kuliko Pedri kwa sababu ana goli nyingi kuliko Pedri.

Sasa kwa kigezo hiko hiko nani alistahili mchezaji bora Messi au Rodri?

Usichoelewa nini?
 
Messi ana assist 4

Kigezo cha tuzo ya mchezaji bora ni maoni sio kipimo ambacho kipo constant.

Ndio maana hatuwezi kuwa na mjadala wa tuzo ya mfungaji bora kwasababu haujitaji maoni.
 
Back
Top Bottom