Kumekuwa na ubishi sana kuhusu yupi kiungo bora kati ya Bellingham & Pedri na viungo wengine β¦ takwimu za Jude π
β’ Magoli 6, pasi 1 ya mabao, mara 4 kuwa Mchezaji Bora wa Mechi (MOTM), mechi 6
β’ Mchezaji wa kwanza tangu Maradona kufunga mabao mawili (brace) katika uwanja wa Azteca.
β’ Mchezaji wa kwanza kufunga mabao mawili katika mechi mbili mfululizo za hatua ya mtoano tangu Maradona.
β’ Mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga mabao mawili katika mechi mbili mfululizo za hatua ya mtoano baada ya PelΓ©.
β’ Amefunga mabao mengi zaidi kuliko Rooney katika mashindano makubwa ya kimataifa.
β’ Kiungo wa kwanza kufunga mabao 5 au zaidi kwa timu ya taifa ya England katika Kombe la Dunia.
β’ Ndyo mchezaji bora kwenye mashindano ya kombe la dunia 2026 pia aliwahi kuwa mchezaji bora wa msimu Laliga & Bundesliga akiwa na miaka 22 tu
β’ Bermigham City walistaafisha Jezi 22 baada ya Jude bellingham kuondoka akiwa na miaka 17 kuelekea BVB