Je wajua? 60% ya watanzania wameajiriwa katika sekta ya kilimo.
UMWAGILIAJI Kuanzia msimu ujao wa kilimo, Serikali chini ya Rais Samia kuwajengea Wakulima wa zao la chai wa mikoa yote mabwawa makubwa ili waanze kulima zao hilo kwa njia ya umwagiliaji ili kuongeza tija na uzalishaji.Tanzania ina eneo linalofaa kwa umwagiliaji Hekta milioni 29.
BEI YA MBOLEA Tanzania inakwenda kuwa kati ya nchi chache Duniani ambazo wakulima wake wanapata pembejeo kwa bei ya chini zaidi.
Mfano, mbolea zote za kukuzia aina zote za YARA zilizokuwa zikiuzwa TZS 122,695 sasa zitauzwa TZS 70,000 pamoja na mbolea za NPK huku mbolea aina SA iliyokuwa ikiuzwa TZS 82,852 sasa itauzwa TZS 50,000..