Juhudi za Rais Samia kuwarejesha waliotenguliwa wa Hayati Magufuli tuzitafsiri vipi?

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,892
Reaction score
7,780
Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme.

Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa kutowajibika vizuri na kukosa weledi. Wenye kujua ndio tulielewa.

Waziri anawezaje kwa uamuzi wake binafsi kuunda tume eti kumchunguza mkuu wa mkoa. Alivyo kilaza akadai hawezi acha kumtetea wema sepeku eti baba zao walikua marafiki na mama zao wote wanatoka singida. Ndio watu mama analeta kwenye baraza la mawaziri na kumtosa mtu kama mwanasheria nguli kabudi.

Ok nisiwe unfair sana kwa mama kuna vichwa vingi kaviretain ila asije kuleta pwanigang. Mimi naamini sukumagang was just a coined term kufanya uchochezi kumpinga magufuli.

Kuna mawaziri watano toka mikoa ya pwani. Competance yao wala sio shindani. Ni kundi la wale polepole alisema kwenye shule yake iliyofungwa.
 
Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme.
Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa kutowajibika vizuri na kukosa weledi. Wenye kujua ndio tulielewa. Waziri anawezaje kwa uamuzi wake binafsi kuunda tume eti kumchunguza mkuu wa mkoa. Alivyo kilaza akadai hawezi acha kumtetea wema sepeku eti baba zao walikua marafiki na mama zao wote wanatoka singida. Ndio watu mama analeta kwenye baraza la mawaziri na kumtosa mtu kama mwanasheria nguli kabudi.
Ok nisiwe unfair sana kwa mama kuna vichwa vingi kaviretain ila asije kuleta pwanigang. Mimi naamini sukumagang was just a coined term kufanya uchochezi kumpinga magufuli.
Kuna mawaziri watano toka mikoa ya pwani. Competancy yao wala sio shindani. Ni kundi la wale polepole alisema kwenye shule yake iliyofungwa.
Magufuli unamjua wewe
 
Mama anafanya uponyaji...healing. Wengi waliotumbuliwa walionewa tu kwa ushabiki wa kijinga wa kumshabikia mgonjwa wa akili..JPM
 
Aliyewateua hao uwasemao in first place alikuwa nani ? Kama si magufuli ? Kama ambavyo magu alikuwa na uwezo wa kuteua aliowatua ndivyo ambavyo Samia amewarudisha, sababu zilizomfanya magu awateue mwanzo ndizo zilizomfanya samia awateue tena. Waziri gani kutoka pwani hayuko competent? Na ni kipi kipimo cha competence??
 
Anafanya uponyaji kama hawa askofu na mitume feki wenye kuponya kila ugonjwa 😂😂
Hii ni serikali yake anaiendesha kwa style yake. Hata magu alitumbua na kuondoa wapendwa wa aliyemwachia kijiti. Hawezi kuongoza kwa kufuata maono tu ya hayati hata yeye ana maono yake. Anataka tengeneza legacy yake.
If you live in the past, the future will never find you.
 
Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme.
Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa kutowajibika vizuri na kukosa weledi. Wenye kujua ndio tulielewa. Waziri anawezaje kwa uamuzi wake binafsi kuunda tume eti kumchunguza mkuu wa mkoa. Alivyo kilaza akadai hawezi acha kumtetea wema sepeku eti baba zao walikua marafiki na mama zao wote wanatoka singida. Ndio watu mama analeta kwenye baraza la mawaziri na kumtosa mtu kama mwanasheria nguli kabudi.
Ok nisiwe unfair sana kwa mama kuna vichwa vingi kaviretain ila asije kuleta pwanigang. Mimi naamini sukumagang was just a coined term kufanya uchochezi kumpinga magufuli.
Kuna mawaziri watano toka mikoa ya pwani. Competancy yao wala sio shindani. Ni kundi la wale polepole alisema kwenye shule yake iliyofungwa.
Mbona kelele mkuu, Nape aliondolewa uwaziri kwa sababu aligusa mahali pabaya, bashite alikuwa ni kidonda cha mwendazake nani asiyejua na kuamini alichofanya bashite clouds hakikubaliki? Mwendazake alikuwa na udhaifu mkubwa sana baadhi ya watu alikuwa kama pamba hakuthubutupo kuwanyooshea kidole.,

Yaani tumuombee dua sana huyu Mama ataibadilisha nchi, Magu uharamia wa ndugai wote ule bungeni hakusema ata kwiyoo.., mama ameweza kumtikisha ndugai from the bottom., sasa barabara ni nyeupee anaweza kwenda speed anayotaka
 
Hivi makonda clouds alifanya nini?
Hapo clouds si ni radio na tv tu? Utasikia kila mara clouds clouds. Mistari imekaririwa kama bongo flava inarudiwa rudiwa kikasuku. Wenyewe clouds hawana cha kushitaki hata jaribio la kubenea mahakamani wamempuuza
Kosa kubwa la makonda kuwavua mask wahuni wa mihadarati. Wale wanaume wavaa chain za dhahabu na mapete vidole vyote hawatamsamehe milele.
Hakika aliwasambaratisha kiukweli.🙄🤔
 
Mama anafanya uponyaji...healing. Wengi waliotumbuliwa walionewa tu kwa ushabiki wa kijinga wa kumshabikia mgonjwa wa akili..JPM
... I trust yule Mkurugenzi wa Jiji la Dar kipindi kile "aliyesagiwa kunguni" hadharani na Bashite live, mtumbuliwa wa kwanza, jipu la kwanza, aliyepelekea maneno tumbua na jipu kujipatia umaarufu, aliyepelekea kichwa cha jamaa kuvimba na kujiona yeye ni alfa na omega, angekuwa hai, mama angemfuta machozi.
 
Hivi makonda clouds alifanya nini?
Hapo clouds si ni radio na tv tu? Utasikia kila mara clouds clouds. Mistari imekaririwa kama bongo flava inarudiwa rudiwa kikasuku. Wenyewe clouds hawana cha kushitaki hata jaribio la kubenea mahakamani wamempuuza
Kosa kubwa la makonda kuwavua mask wahuni wa mihadarati. Wale wanaume wavaa chain za dhahabu na mapete vidole vyote hawatamsamehe milele.
Hakika aliwasambaratisha kiukweli.🙄🤔
Clips iko wazi sana mtandaoni makonda alichofanya clouds, kama magu alihisi anasingiziwa kakaako kwa hakusubiri ripoti ya waziri? clouds sasa hawana cha kushitaki kwa sababu tayari washapiga hela kwa mpiga dili bashite.,
 
Back
Top Bottom