Endelea kujidanganya. Mimi naishi Mashariki ya mbali huku na Juice za Azam zinauzwa hadi huku, sembuse Kenya? Kipindi Kikwete anatoka Azam walishaanza kuuza Juice zao Kenya ila mahusiano ya kinchi yaliharibika kipindi cha JPM ndio maana mauzo yalipungua. Haya makubaliano ni neema kwetu. Tatizo watu tumezidi woga. Wakenya ni watu wa kawaida tu.Azam juice haiwezi tamba kama del monte kenya itaruhusiwa kuingia .
Delmonte ipo kwenye level za Ceres
𝚗𝚊 𝚗𝚍𝚘 𝚔𝚒𝚙𝚒𝚗𝚍𝚒 𝚊𝚖𝚋𝚊𝚌𝚑𝚘 𝚊𝚝𝚊 𝚓𝚞𝚒𝚌𝚎 𝚣𝚊 𝚔𝚒𝚝𝚊𝚗𝚣𝚊𝚗𝚒𝚊 𝚔𝚞𝚣𝚒𝚔𝚞𝚝𝚊 𝚔𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎 𝚗𝚍𝚎𝚐𝚎 𝚒𝚕𝚒𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚒𝚜𝚜𝚞𝚎 𝚊𝚝𝚊 𝚖𝚊𝚓𝚒 𝚠𝚊𝚔𝚒𝚊𝚐𝚒𝚣𝚊 𝚢𝚊 𝚗𝚓𝚎.Endelea kujidanganya. Mimi naishi Mashariki ya mbali huku na Juice za Azam zinauzwa hadi huku, sembuse Kenya? Kipindi Kikwete anatoka Azam walishaanza kuuza Juice zao Kenya ila mahusiano ya kinchi yaliharibika kipindi cha JPM ndio maana mauzo yalipungua. Haya makubaliano ni neema kwetu. Tatizo watu tumezidi woga. Wakenya ni watu wa kawaida tu.
Viwanda vyetu vimekatazwa kutumia hii gesi?Wataweza? Viwanda vya Kenya na vya European Union vina uzoefu wa miaka mingi. Nishati ya umeme kwao ni senti 0.004 ya dola kwa unit wakati sisi ni senti 20 ya dola kwa unit (= TZS 500). Sasa tunatarajia kujenga bomba la kupeleka gesi yetu kutoka Mtwara hadi Kenya kwa bei nafuu ili viwanda vyao vipate nishati ya bei nafuu zaidi ili juices zao watuuzie kwa bei nafuu zaidi.
acha woga we ni mtoto wa kiume,na hizi point zako za history form 3,unajichoresha tu kwenye profile yako miwani mikuubwa lakini roho ya kike.Tutakuja kujua baadae kuwa hatuna rais, ila wacha tupige miruzi na vigelegele kwa Sasa!
What's going to happen is an influx of Kenyan made goods in Tz, our export will be totally reduced hence decline of our currency due to higher importation of goods than exportation.
Rais huyu anajaribu kuivua chupi nchi ili kila taifa lijipigie litakavyo, soon ujanja ujanja wa Kenya dhidi ya Tz utarudi kwa Kasi.
acha woga we ni mtoto wa kiume,na hizi point zako za history form 3,unajichoresha tu kwenye profile yako miwani mikuubwa lakini roho ya kike.
... ni sawa na Dangote yenye makao makuu Nigeria(?) lakini imewekeza Tanzania.Delmonte foods ni kampuni ya kimarekani yenye makao makuu California; siyo ya Kenya.
[emoji44][emoji44][emoji44] manufacturing industry, assemble industryUna endorse mkataba wa EPA na EU, sisi tunapeleka nini EU hadi uruhusu bidhaa zote za EU ziingie Tz duty free ? Huyu ndio Rais atakayeua kabisa manufacturing industry ambayo ndio kwanza ilikuwa jnaanza kukomaa baada ya kazi ya muda mrefu ya Mkapa, JK na JPM.
Mkuu kuishi madhariki ya mbali sio kujua kila kitu,Endelea kujidanganya. Mimi naishi Mashariki ya mbali huku na Juice za Azam zinauzwa hadi huku, sembuse Kenya? Kipindi Kikwete anatoka Azam walishaanza kuuza Juice zao Kenya ila mahusiano ya kinchi yaliharibika kipindi cha JPM ndio maana mauzo yalipungua. Haya makubaliano ni neema kwetu. Tatizo watu tumezidi woga. Wakenya ni watu wa kawaida tu.
Juice za Del Monte (hasa pinnnaple) ni nzuri kwa ajili imetengezwa na mananasi fresh ambayo kampuni inazalisha yenyewe Thika.Ubora wa brookside bila shaka upo juu ,yametengezwa na maziwa fresh(siyo reconstituted).Naona jamaa anapenda sana Del Monte juice ila kwa kukusaidia ni kwamba Del mounte Iko kiwanda Kenya na Tanzania pia kipo ila asili yake ni USA na kuwekezwa mara ya kwanza South Africa
Ila ninachoweza kusema zote nimewahi kunywa lakini bado Azam naikubali ( Tropical [emoji484] Azam)
So vitu vikae sokoni tujichagulie
Offcorse mimi ni Mzalendo wa bidhaa za ndani Sitaacha Azam tropical kwa kweli sijaona mbadala wake.
Kwenye maziwa fresh yakiruhusiwa Azam ataumizwa na Brookside milk kwa sababu ya bei
Brookside 2000 ubora uko juu
Azam 3500 sina uhakika sana
Ushauri wangu tuunge mkono bidhaa zetu za ndani zile ambazo kwa kweli zina ubora.
Kwa sababu Kenya wanaweza kuamua kutengeneza bidhaa fake za kuja huku wakijua mtanunua kisa hamtaki vya kwenu.
Ukiwa mtu hasi mwenye akili hasi, daima utapata maendeleo hasi. Fikra hasi za marehemu, ziliangusha ukuaji wa kila sekta ya uchumi. Tunahitaji fikra chanya kuleta positive economic growth.Wataweza? Viwanda vya Kenya na vya European Union vina uzoefu wa miaka mingi. Nishati ya umeme kwao ni senti 0.004 ya dola kwa unit wakati sisi ni senti 20 ya dola kwa unit (= TZS 500). Sasa tunatarajia kujenga bomba la kupeleka gesi yetu kutoka Mtwara hadi Kenya kwa bei nafuu ili viwanda vyao vipate nishati ya bei nafuu zaidi ili juices zao watuuzie kwa bei nafuu zaidi.
Wa Tanzania Kitendo cha Jiwe kuwabatiza Jina Wanyonge na kulikubali kumedumaza sana akili zenu, yaani Kila kitu mnahisi Mnahujumiwa, covid-19 vaccine mnahisi mnatafutwa nyie, sasa imefikia hatua mnawaogopa hata wa Kenya.Viwanda vyetu hususani kama vya Azam vijiandae kwa maumivu kwani itakuwa ngumu kushindana na maviwanda ya Kenya. Pia na sisi tunaotaka kujenga tujumba twetu tujiandae maumivu kwani cementi ya kutoka viwanda vyetu ambayo ina ubora wa hali ya juu hususani ile ya Dangote, kiasi kikubwa kitakuwa kinaenda Kenya kwani huko itauzwa bei kubwa. Hii ndiyo win win situation? Tunapata juice kwa bei nafuu na kupata sementi kwa bei ya juu zaidi.
Pia majadiliano ya EPA yameanza ili bidhaa kutoka nchi za Europa nazo ziingie Tanzania bila vikwazo kushindana na bidhaa za viwanda vyetu. Hili ni jambo jema ili kuvifundisha adabu viwanda vyetu ambavyo kila kukicha vinatupandishia bei ya bidhaa zao. Mafuta ya kupikia, sukari na kadhalika bei zake hazikamatiki.
Tanzania allows sale of Kenya juices, wheat flour | Business Daily
www-businessdailyafrica-com.cdn.ampproject.org
East Africa: EAC Technical Team Meet in Arusha Over Epa Deal
East African Community sectoral council on trade, industry and investment is meeting in Arusha to deliberate on implementing the Economic Partnership Agreement (EPA) between the European Union (EU) and the EAC, the deal which remain unsigned since 2016.allafrica.com
JPM mwondoe. Hakuna mchango wake wa maana kwenye sekta ya viwanda.Una endorse mkataba wa EPA na EU, sisi tunapeleka nini EU hadi uruhusu bidhaa zote za EU ziingie Tz duty free ? Huyu ndio Rais atakayeua kabisa manufacturing industry ambayo ndio kwanza ilikuwa jnaanza kukomaa baada ya kazi ya muda mrefu ya Mkapa, JK na JPM.
Yaani Watanzania sijui kwa nini hata wasomi wanapenda kuendelea kujishikamanisha na ujinga kuliko maarifa na werevu.Huku ni kukosa akili(sorry) yaani unaambiwa ukauze nje unalalamika, mwenzako pia akija kuuza unalalamika. Kama siyo kukosa akili ni nini? Yaani unataka tusiuze saruji nje kisa itapanda bei!!!? Hutaki soko la nje?
Hii hangover ya ujamaa sijui tuinywee msapuo gani?
Unaongelea mambo usiyoyafahamu wala hujawi fanya kazi Katika sekta hizoTutakuja kujua baadae kuwa hatuna rais, ila wacha tupige miruzi na vigelegele kwa Sasa!
What's going to happen is an influx of Kenyan made goods in Tz, our export will be totally reduced hence decline of our currency due to higher importation of goods than exportation.
Rais huyu anajaribu kuivua chupi nchi ili kila taifa lijipigie litakavyo, soon ujanja ujanja wa Kenya dhidi ya Tz utarudi kwa Kasi.
Wewe unatumia umeme wa wapi huo mbona bei juu sana.?Wataweza? Viwanda vya Kenya na vya European Union vina uzoefu wa miaka mingi. Nishati ya umeme kwao ni senti 0.004 ya dola kwa unit wakati sisi ni senti 20 ya dola kwa unit (= TZS 500). Sasa tunatarajia kujenga bomba la kupeleka gesi yetu kutoka Mtwara hadi Kenya kwa bei nafuu ili viwanda vyao vipate nishati ya bei nafuu zaidi ili juices zao watuuzie kwa bei nafuu zaidi.