Juice na unga wa ngano kutoka viwanda vya Kenya vitaingia Tanzania bila vikwazo na sementi kutoka viwanda vya Tanzania vitaingia Kenya bila vikwazo

Huku ni kukosa akili(sorry) yaani unaambiwa ukauze nje unalalamika, mwenzako pia akija kuuza unalalamika. Kama siyo kukosa akili ni nini? Yaani unataka tusiuze saruji nje kisa itapanda bei!!!? Hutaki soko la nje?

Hii hangover ya ujamaa sijui tuinywee msapuo gani?
 
Azam juice haiwezi tamba kama del monte kenya itaruhusiwa kuingia .
Delmonte ipo kwenye level za Ceres
Endelea kujidanganya. Mimi naishi Mashariki ya mbali huku na Juice za Azam zinauzwa hadi huku, sembuse Kenya? Kipindi Kikwete anatoka Azam walishaanza kuuza Juice zao Kenya ila mahusiano ya kinchi yaliharibika kipindi cha JPM ndio maana mauzo yalipungua. Haya makubaliano ni neema kwetu. Tatizo watu tumezidi woga. Wakenya ni watu wa kawaida tu.
 
𝚗𝚊 𝚗𝚍𝚘 𝚔𝚒𝚙𝚒𝚗𝚍𝚒 𝚊𝚖𝚋𝚊𝚌𝚑𝚘 𝚊𝚝𝚊 𝚓𝚞𝚒𝚌𝚎 𝚣𝚊 𝚔𝚒𝚝𝚊𝚗𝚣𝚊𝚗𝚒𝚊 𝚔𝚞𝚣𝚒𝚔𝚞𝚝𝚊 𝚔𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎 𝚗𝚍𝚎𝚐𝚎 𝚒𝚕𝚒𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚒𝚜𝚜𝚞𝚎 𝚊𝚝𝚊 𝚖𝚊𝚓𝚒 𝚠𝚊𝚔𝚒𝚊𝚐𝚒𝚣𝚊 𝚢𝚊 𝚗𝚓𝚎.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu .kila mtu atajikuna anapojipatia ,na yote ni furaha kwa mlaji ambae ndie mlipa kodi mkuu,vita vya panzi furaha kwa kunguru.Hata juice za ulaya mafanta na makoka yanayotoka nje si yapo ,hata bangi yetu ni nzuri ila CCM wanaikandia.
 
Naona jamaa anapenda sana Del Monte juice ila kwa kukusaidia ni kwamba Del mounte Iko kiwanda Kenya na Tanzania pia kipo ila asili yake ni USA na kuwekezwa mara ya kwanza South Africa

Ila ninachoweza kusema zote nimewahi kunywa lakini bado Azam naikubali ( Tropical [emoji484] Azam)
So vitu vikae sokoni tujichagulie
Offcorse mimi ni Mzalendo wa bidhaa za ndani Sitaacha Azam tropical kwa kweli sijaona mbadala wake.

Kwenye maziwa fresh yakiruhusiwa Azam ataumizwa na Brookside milk kwa sababu ya bei
Brookside 2000 ubora uko juu
Azam 3500 sina uhakika sana

Ushauri wangu tuunge mkono bidhaa zetu za ndani zile ambazo kwa kweli zina ubora.
Kwa sababu Kenya wanaweza kuamua kutengeneza bidhaa fake za kuja huku wakijua mtanunua kisa hamtaki vya kwenu.
 
Wataweza? Viwanda vya Kenya na vya European Union vina uzoefu wa miaka mingi. Nishati ya umeme kwao ni senti 0.004 ya dola kwa unit wakati sisi ni senti 20 ya dola kwa unit (= TZS 500). Sasa tunatarajia kujenga bomba la kupeleka gesi yetu kutoka Mtwara hadi Kenya kwa bei nafuu ili viwanda vyao vipate nishati ya bei nafuu zaidi ili juices zao watuuzie kwa bei nafuu zaidi.
Viwanda vyetu vimekatazwa kutumia hii gesi?
 
Tutakuja kujua baadae kuwa hatuna rais, ila wacha tupige miruzi na vigelegele kwa Sasa!

What's going to happen is an influx of Kenyan made goods in Tz, our export will be totally reduced hence decline of our currency due to higher importation of goods than exportation.

Rais huyu anajaribu kuivua chupi nchi ili kila taifa lijipigie litakavyo, soon ujanja ujanja wa Kenya dhidi ya Tz utarudi kwa Kasi.
acha woga we ni mtoto wa kiume,na hizi point zako za history form 3,unajichoresha tu kwenye profile yako miwani mikuubwa lakini roho ya kike.
 
Delmonte foods ni kampuni ya kimarekani yenye makao makuu California; siyo ya Kenya.
... ni sawa na Dangote yenye makao makuu Nigeria(?) lakini imewekeza Tanzania.
 
Una endorse mkataba wa EPA na EU, sisi tunapeleka nini EU hadi uruhusu bidhaa zote za EU ziingie Tz duty free ? Huyu ndio Rais atakayeua kabisa manufacturing industry ambayo ndio kwanza ilikuwa jnaanza kukomaa baada ya kazi ya muda mrefu ya Mkapa, JK na JPM.
[emoji44][emoji44][emoji44] manufacturing industry, assemble industry

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kujidanganya. Mimi naishi Mashariki ya mbali huku na Juice za Azam zinauzwa hadi huku, sembuse Kenya? Kipindi Kikwete anatoka Azam walishaanza kuuza Juice zao Kenya ila mahusiano ya kinchi yaliharibika kipindi cha JPM ndio maana mauzo yalipungua. Haya makubaliano ni neema kwetu. Tatizo watu tumezidi woga. Wakenya ni watu wa kawaida tu.
Mkuu kuishi madhariki ya mbali sio kujua kila kitu,
Juice za Azam zote ni chemicals syrups na zimeongezwa sukari,
Ceres na del monte ni natural juice , no preservatives na hazijaongezwa sukari , hawa jamaa kabla hawajaanza kutengeneza juice , waliwekeza kwanza kwenye kilimo cha matunda , ndo maana hata bei ya juice hizo hazifanani
 
Naona jamaa anapenda sana Del Monte juice ila kwa kukusaidia ni kwamba Del mounte Iko kiwanda Kenya na Tanzania pia kipo ila asili yake ni USA na kuwekezwa mara ya kwanza South Africa

Ila ninachoweza kusema zote nimewahi kunywa lakini bado Azam naikubali ( Tropical [emoji484] Azam)
So vitu vikae sokoni tujichagulie
Offcorse mimi ni Mzalendo wa bidhaa za ndani Sitaacha Azam tropical kwa kweli sijaona mbadala wake.

Kwenye maziwa fresh yakiruhusiwa Azam ataumizwa na Brookside milk kwa sababu ya bei
Brookside 2000 ubora uko juu
Azam 3500 sina uhakika sana

Ushauri wangu tuunge mkono bidhaa zetu za ndani zile ambazo kwa kweli zina ubora.
Kwa sababu Kenya wanaweza kuamua kutengeneza bidhaa fake za kuja huku wakijua mtanunua kisa hamtaki vya kwenu.
Juice za Del Monte (hasa pinnnaple) ni nzuri kwa ajili imetengezwa na mananasi fresh ambayo kampuni inazalisha yenyewe Thika.Ubora wa brookside bila shaka upo juu ,yametengezwa na maziwa fresh(siyo reconstituted).
 
Wataweza? Viwanda vya Kenya na vya European Union vina uzoefu wa miaka mingi. Nishati ya umeme kwao ni senti 0.004 ya dola kwa unit wakati sisi ni senti 20 ya dola kwa unit (= TZS 500). Sasa tunatarajia kujenga bomba la kupeleka gesi yetu kutoka Mtwara hadi Kenya kwa bei nafuu ili viwanda vyao vipate nishati ya bei nafuu zaidi ili juices zao watuuzie kwa bei nafuu zaidi.
Ukiwa mtu hasi mwenye akili hasi, daima utapata maendeleo hasi. Fikra hasi za marehemu, ziliangusha ukuaji wa kila sekta ya uchumi. Tunahitaji fikra chanya kuleta positive economic growth.

Hakuna nchi hata moja Duniani, iliyokuwa maskini, halafu ilipata maendeleo, iliyoegemea eti kulinda viwanda vya ndani kwa kuzuia bidhaa toka nje. China walishindwa, Urusi walishindwa, India walishindwa, Ujerumani Mashariki walishindwa. Dubai waliweka milango wazi, wakapata maendeleo makubwa kwa kiwango cha ajabu, ndani ya miaka 15.

Mama Samia, ni akili kubwa, wengi hawataamini kwenye ukuaji wa uchumi ndani ya muda mfupi.
 
Viwanda vyetu hususani kama vya Azam vijiandae kwa maumivu kwani itakuwa ngumu kushindana na maviwanda ya Kenya. Pia na sisi tunaotaka kujenga tujumba twetu tujiandae maumivu kwani cementi ya kutoka viwanda vyetu ambayo ina ubora wa hali ya juu hususani ile ya Dangote, kiasi kikubwa kitakuwa kinaenda Kenya kwani huko itauzwa bei kubwa. Hii ndiyo win win situation? Tunapata juice kwa bei nafuu na kupata sementi kwa bei ya juu zaidi.

Pia majadiliano ya EPA yameanza ili bidhaa kutoka nchi za Europa nazo ziingie Tanzania bila vikwazo kushindana na bidhaa za viwanda vyetu. Hili ni jambo jema ili kuvifundisha adabu viwanda vyetu ambavyo kila kukicha vinatupandishia bei ya bidhaa zao. Mafuta ya kupikia, sukari na kadhalika bei zake hazikamatiki.

Wa Tanzania Kitendo cha Jiwe kuwabatiza Jina Wanyonge na kulikubali kumedumaza sana akili zenu, yaani Kila kitu mnahisi Mnahujumiwa, covid-19 vaccine mnahisi mnatafutwa nyie, sasa imefikia hatua mnawaogopa hata wa Kenya.
Mungu ametutendea Jambo jema sana Kumchukua Jiwe, Miaka Mitano mbele 80% ya wabongo wangekuwa Ma Zezeta
 
Una endorse mkataba wa EPA na EU, sisi tunapeleka nini EU hadi uruhusu bidhaa zote za EU ziingie Tz duty free ? Huyu ndio Rais atakayeua kabisa manufacturing industry ambayo ndio kwanza ilikuwa jnaanza kukomaa baada ya kazi ya muda mrefu ya Mkapa, JK na JPM.
JPM mwondoe. Hakuna mchango wake wa maana kwenye sekta ya viwanda.
 
Huku ni kukosa akili(sorry) yaani unaambiwa ukauze nje unalalamika, mwenzako pia akija kuuza unalalamika. Kama siyo kukosa akili ni nini? Yaani unataka tusiuze saruji nje kisa itapanda bei!!!? Hutaki soko la nje?

Hii hangover ya ujamaa sijui tuinywee msapuo gani?
Yaani Watanzania sijui kwa nini hata wasomi wanapenda kuendelea kujishikamanisha na ujinga kuliko maarifa na werevu.

Yaani wajinga hawajui faida ya ushindani.
 
Tutakuja kujua baadae kuwa hatuna rais, ila wacha tupige miruzi na vigelegele kwa Sasa!

What's going to happen is an influx of Kenyan made goods in Tz, our export will be totally reduced hence decline of our currency due to higher importation of goods than exportation.

Rais huyu anajaribu kuivua chupi nchi ili kila taifa lijipigie litakavyo, soon ujanja ujanja wa Kenya dhidi ya Tz utarudi kwa Kasi.
Unaongelea mambo usiyoyafahamu wala hujawi fanya kazi Katika sekta hizo

Wewe hujui kitu, unalalamika bila takwimu

Mpaka sasa, Bidhaa za Kenya ndio zimejaa sokoni

Ni kitu gani cha Kenya hakipo sokoni Tanzania

Huwezi kwepa Dunia ya ushindani wewe ni wale malofa wanaoamini Katika Command economy yaani serikali imiliki viwanda na kuviongoza

Wewe umepitwa na wakati, Jaribu kuwa flexible na kujifunza

Maduka makubwa mengi Tanzania yanachukua Bidhaa Kenya wanakwepa bandari ya Dar

Wewe unatokea mapori ya wapi?

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Wataweza? Viwanda vya Kenya na vya European Union vina uzoefu wa miaka mingi. Nishati ya umeme kwao ni senti 0.004 ya dola kwa unit wakati sisi ni senti 20 ya dola kwa unit (= TZS 500). Sasa tunatarajia kujenga bomba la kupeleka gesi yetu kutoka Mtwara hadi Kenya kwa bei nafuu ili viwanda vyao vipate nishati ya bei nafuu zaidi ili juices zao watuuzie kwa bei nafuu zaidi.
Wewe unatumia umeme wa wapi huo mbona bei juu sana.?
Wakati sisi watumiaji wa majumbani ndo tunanunua umeme bei juu ni tsh288 kuliko wenye viwanda.!
 
Back
Top Bottom