Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Na ndio shida yenu ilipo lalia!JPM mwondoe. Hakuna mchango wake wa maana kwenye sekta ya viwanda.
Makosa mengi anayofanya Samia nyie mnayapaka mafuta ili yasionekane kama ni makosa eti ili kumkomoa marehemu!
Muda utaongea. Tusubiri miaka 2 hapo mbele kila kitu kitakuwa wazi