Juice na unga wa ngano kutoka viwanda vya Kenya vitaingia Tanzania bila vikwazo na sementi kutoka viwanda vya Tanzania vitaingia Kenya bila vikwazo

Juice na unga wa ngano kutoka viwanda vya Kenya vitaingia Tanzania bila vikwazo na sementi kutoka viwanda vya Tanzania vitaingia Kenya bila vikwazo

JPM mwondoe. Hakuna mchango wake wa maana kwenye sekta ya viwanda.
Na ndio shida yenu ilipo lalia!

Makosa mengi anayofanya Samia nyie mnayapaka mafuta ili yasionekane kama ni makosa eti ili kumkomoa marehemu!

Muda utaongea. Tusubiri miaka 2 hapo mbele kila kitu kitakuwa wazi
 
Viwanda vyetu hususani kama vya Azam vijiandae kwa maumivu kwani itakuwa ngumu kushindana na maviwanda ya Kenya. Pia na sisi tunaotaka kujenga tujumba twetu tujiandae maumivu kwani cementi ya kutoka viwanda vyetu ambayo ina ubora wa hali ya juu hususani ile ya Dangote, kiasi kikubwa kitakuwa kinaenda Kenya kwani huko itauzwa bei kubwa. Hii ndiyo win win situation? Tunapata juice kwa bei nafuu na kupata sementi kwa bei ya juu zaidi.

Pia majadiliano ya EPA yameanza ili bidhaa kutoka nchi za Europa nazo ziingie Tanzania bila vikwazo kushindana na bidhaa za viwanda vyetu. Hili ni jambo jema ili kuvifundisha adabu viwanda vyetu ambavyo kila kukicha vinatupandishia bei ya bidhaa zao. Mafuta ya kupikia, sukari na kadhalika bei zake hazikamatiki.

WAtu wanaokimbilia chanjo ya korona bila kuangalia madhara makubwa yaliyopo hadi walioanza kuapta chanjo wameamua kuungna na sera ya Hayati Magufulil, watajali juice tena ya ngano ambayo ni chakula?

Kama wameshindwa kuwalinda wananchi dhidi ya chanjo, watawalinda kwa chakula ambacho kitawashibisha?

Itakuwa ni sawa na mtoto aliyekuwa akilia anapewa pombe ili alale!.

Naona wataona wamerahisishiwa, "Ili mradi washibe".
 
Unaongelea mambo usiyoyafahamu wala hujawi fanya kazi Katika sekta hizo

Wewe hujui kitu, unalalamika bila takwimu

Mpaka sasa, Bidhaa za Kenya ndio zimejaa sokoni

Ni kitu gani cha Kenya hakipo sokoni Tanzania

Huwezi kwepa Dunia ya ushindani wewe ni wale malofa wanaoamini Katika Command economy yaani serikali imiliki viwanda na kuviongoza

Wewe umepitwa na wakati, Jaribu kuwa flexible na kujifunza

Maduka makubwa mengi Tanzania yanachukua Bidhaa Kenya wanakwepa bandari ya Dar

Wewe unatokea mapori ya wapi?

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
Tupe mifano ya bidhaa hizo
 
Viwanda vyetu hususani kama vya Azam vijiandae kwa maumivu kwani itakuwa ngumu kushindana na maviwanda ya Kenya. Pia na sisi tunaotaka kujenga tujumba twetu tujiandae maumivu kwani cementi ya kutoka viwanda vyetu ambayo ina ubora wa hali ya juu hususani ile ya Dangote, kiasi kikubwa kitakuwa kinaenda Kenya kwani huko itauzwa bei kubwa. Hii ndiyo win win situation? Tunapata juice kwa bei nafuu na kupata sementi kwa bei ya juu zaidi.

Pia majadiliano ya EPA yameanza ili bidhaa kutoka nchi za Europa nazo ziingie Tanzania bila vikwazo kushindana na bidhaa za viwanda vyetu. Hili ni jambo jema ili kuvifundisha adabu viwanda vyetu ambavyo kila kukicha vinatupandishia bei ya bidhaa zao. Mafuta ya kupikia, sukari na kadhalika bei zake hazikamatiki.

Kenya cement bei ipo chini sana kuliko Tanzania
 
Ana hoja nzuri sana isipokuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa JAZBA dhidi ya watu wanaotofautiana na mitazamo inayoendana na matakwa ya nafsi yake......
Siyo jaziba!

Bali ni chuki kwa marehremu Magufuli!

Anaamini Magufuli hakufanya chochote ili kuiinua tz badala yake kila alichokuwa anafanya ilikuwa ni kwa ajili ya kuiua tz.

Ndio sababu makosa mengi ya rais Samia wafuasi wa chadema wanayapaka mafuta yasionekane kama ni makosa kwa kengo la kumkomoa marehemu.
 
Tiles za goodwill na twyford Tanzanzia mara kadhaa nimeshuhudia zikishindwa kuingia kenya kwa sababu ya ubora hafifu, ,
Twyford wana kiwanda kenya lakini products zao ni level za juu kuliko twyford Tanzania

Bila usbishi wakenya wapi vizuri kwenye quality control
Taasisi yetu ya Quality Control inabidi ijipange sana kama tunatakushindana kweli.

Kwa uwozo ule wa Tiles sijui wanafanya nini ofisioni
 
Siyo jaziba!

Bali ni chuki kwa marehremu Magufuli!

Anaamini Magufuli hakufanya chochote ili kuiinua tz badala yake kila alichokuwa anafanya ilikuwa ni kwa ajili ya kuiua tz.

Ndio sababu makosa mengi ya rais Samia wafuasi wa chadema wanayapaka mafuta yasionekane kama ni makosa kwa kengo la kumkomoa marehemu.
Kwanza huyo sio mfuasi wa chadema.

Ni jitu flani lina frustration zake za maisha.
 
Siyo jaziba!

Bali ni chuki kwa marehremu Magufuli!

Anaamini Magufuli hakufanya chochote ili kuiinua tz badala yake kila alichokuwa anafanya ilikuwa ni kwa ajili ya kuiua tz.

Ndio sababu makosa mengi ya rais Samia wafuasi wa chadema wanayapaka mafuta yasionekane kama ni makosa kwa kengo la kumkomoa marehemu.
Inawezekana ikawa hivyo kulingana na mtazamo wako.....

Lakini wewe mdau una mtazamo gani juu ya hili.....unadhani nchi yetu imechukua hatua sahihi kuelekea kwenye mabadiliko ya kweli kiuchumi.......??
 
Viwanda vyetu hususani kama vya Azam vijiandae kwa maumivu kwani itakuwa ngumu kushindana na maviwanda ya Kenya. Pia na sisi tunaotaka kujenga tujumba twetu tujiandae maumivu kwani cementi ya kutoka viwanda vyetu ambayo ina ubora wa hali ya juu hususani ile ya Dangote, kiasi kikubwa kitakuwa kinaenda Kenya kwani huko itauzwa bei kubwa. Hii ndiyo win win situation? Tunapata juice kwa bei nafuu na kupata sementi kwa bei ya juu zaidi.

Pia majadiliano ya EPA yameanza ili bidhaa kutoka nchi za Europa nazo ziingie Tanzania bila vikwazo kushindana na bidhaa za viwanda vyetu. Hili ni jambo jema ili kuvifundisha adabu viwanda vyetu ambavyo kila kukicha vinatupandishia bei ya bidhaa zao. Mafuta ya kupikia, sukari na kadhalika bei zake hazikamatiki.

Acha kuwatisha wafanyabiashara,
Bidhaa za viwandani za kenya ni ghali sana kuliko za Tanzania. Hiyo inatokana na kuwa na production cost kubwa ambayo inatokana na gharama za nishati ya umeme. Na hawana alternative kama gas kama ilivyo Tanzania.
 
..niliwahi kumsikia waziri kabudi akisema wamalawi wanapenda sana bidhaa za tanzania, na bidhaa mojawapo aliyoitaja ni sabuni ya unga foma.

..nadhani Tz bado tunaweza kuuza bidhaa kwa majirani wetu wengine kama malawi, zambia, drc congo,..

..lingine ni kujitahidi ili gharama za uzalishaji ktk viwanda vya Tz ziwe chini kuliko majirani zetu wote. Na zaidi tujitahidi ktk kuzalisha bidhaa zenye viwango.
Hapo ndo kwenye tatizo, kwa maana Watz tukifanyiwa adjust kwenye kodi bidhaa zitakuwa na ubora mdogo Zaidi ili tupige faida zaidi unatujua vizuri.....!??
 
Inawezekana ikawa hivyo kulingana na mtazamo wako.....

Lakini wewe mdau una mtazamo gani juu ya hili.....unadhani nchi yetu imechukua hatua sahihi kuelekea kwenye mabadiliko ya kweli kiuchumi.......??
Kosa kubwa alilofanya Magufuli ni kujaribu kuwazibua masikio wajinga.

Magufuli alikuwa anaongoza taifa la watu wajinga na wapumbavu ambao kwao uccm na uchadema ni agenda yao kuu. Ndio maana kuna mataifa yakikuwa yanasema tupeni sisi huyo mtu atuongoze walau mwezi mmoja tu.

Kila mahali alipokuwa anapita alikuwa anawaambia watu fanyeni kazi, limeni mazao muwe na chakula cha kutosha kisha ziada uzeni nje mpate fedha,! Tena akawambia usipofanya kazi ikija njaa selikali haitakupa chakula itakuacha ufe, ile ilikuwa ni kuwa encourage watu wafanye kazi, ila wajinga wakasema ni mkatili.

Akasema inauma sana kuona unaenda dukani kununua bidhaa toka nje wakati material ya hiyo bidhaa unalala nayo kila siku. Na akijaribu kuwaambia watu wekezeni viwanda vyenu kila kona ya nchi ili muzalishe bidhaa kutokana na material za sehemu husika badala ya kuuza hizo materials kisha mnarudishiwa bidhaa kwa bei juu.

Suala la sukari kwa mfano, ingekuwa nchi yenye watu wenye afya ya akili muda huu tungekuwa tunaongela tuna viwanda hata 20 vya sukari maana alipozuia sukari toka nje wenye mitaji ilitakiwa kwenda kuwekeza kwenye mashamba ya miwa na kufungua maviwanda ili kuhakikisha sasa wanateka soko lote la ndani. Badala yake wakaishia kumtukana.

Magufuli alikuwa anataka kuona badala ya watu kuuza materials na yale materials kurudi kama bidhaa na kuuziwa kwa bei ya juu basi watz wenyewe wafanye yote hayo kisha wauze bidhaa badala ya materials.

Samia anaturudisha kule kule. Yani badala ya kuhamasisha watu wafungue viwanda tuuze na sisi bidhaa yeye anahimiza hivyo vibidhaa vije kwa wingu zaidi. Hatutafika popote.
 
Tekinolojia ya kutengeneza vitu imeshafika mbali sana na vitu vinahitajika kutumiwa sasa Ili kuendesha maisha yetu, sasa sisi tuliwekeza kwenye kuzaa na elimu duni na vitu vya kutumia kuendesha maisha vinahitajika sasa kulingana na mabadiliko ya kupata muda kutafuta uchumi mzuri kwa kila familia sasa vitu hivyo sisi hatuna na tulivyonavyo siyo Bora sasa wakati tunasubiri kutengeneza vilivyo Bora na kuleta vipya vinavyohitajika inabidi turuhusiwe kuletewa vya nje Ili vije vishindane na vya kwetu na sisi tutaona umuhimu wa kutengeneza vitu vizuri Ili vipendwe Kama vya nje. Tatizo tulilonalo ni wivu kwa watu wenye kipato hatutaki jirani zetu watupite kwa kumiliki vitu vizuri Kama mtu anatumia mkaa hataki jirani yake atumie gesi, Kama ni TV ya chogo basi jirani asinunue Flat ndo tatizo linalotusumbua, wivu kwenye mioyo yetu maana hivyo vitu vikija tutavinunua dukani na maduka yakiuza yatalipa kodi serikali sasa tatizo lipo wapi?
 
Ukiachana na nishati, vipi kuhusu mikopo ya riba nafuu huko EU, kupata mkopo wa riba ya 1-3 % huko ni kitu cha kawaida, bongo ni kiwanda gani kinaweza pata huo mkopo, SSH anatengeneza bomu la kujitakia, upuuzi mtupu.
kuna haja gani ya kuendelea kutumia vitu vyenye poor quality na bei kubwa, simply kwakua vinazalishwa hapa nchini?
 
Nimeona mnasifia sana ubora wa bidhaa za Kenya na unafuu wake katika upande wa bei....vipi kuhusu KONYAGI? je wako vizuri pia katika ubora? na bei zao ni nzuri?
IMG_20210602_084843_693.jpg
 
Viwanda vyetu hususani kama vya Azam vijiandae kwa maumivu kwani itakuwa ngumu kushindana na maviwanda ya Kenya. Pia na sisi tunaotaka kujenga tujumba twetu tujiandae maumivu kwani cementi ya kutoka viwanda vyetu ambayo ina ubora wa hali ya juu hususani ile ya Dangote, kiasi kikubwa kitakuwa kinaenda Kenya kwani huko itauzwa bei kubwa. Hii ndiyo win win situation? Tunapata juice kwa bei nafuu na kupata sementi kwa bei ya juu zaidi.

Pia majadiliano ya EPA yameanza ili bidhaa kutoka nchi za Europa nazo ziingie Tanzania bila vikwazo kushindana na bidhaa za viwanda vyetu. Hili ni jambo jema ili kuvifundisha adabu viwanda vyetu ambavyo kila kukicha vinatupandishia bei ya bidhaa zao. Mafuta ya kupikia, sukari na kadhalika bei zake hazikamatiki.

lugha ngumu sana aisee.sasa uliyoandika umetoa wapi mbona article kama haielezi ulichosema wewe.
 
Back
Top Bottom