Hasa wanaume wa Dar.!Hiyo juice nzuri sana hasa sisi ambao tumeoa..
Inatengenezwaje?ni kweli mkuu, mix na asali kimtindo.. teh usinuilize nimejuaje lakini
[emoji23] [emoji23] wewe ni mchochezi unastahili kufunguliwa mashtaka ,tena hata dhamana hupewiMmh... mpaka wife wako anaamua kukutengenezea we hujiulizi tu?
Hahaha kwamba hamfikishiMmh... mpaka wife wako anaamua kukutengenezea we hujiulizi tu?
Ukitaka nguvu kula unga tu.Utasikia inaongeza nguvu za kiume tu.
Aicee Farkhina uko wp sikuhizi?
Miss u...Nipooo
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] wewe ni mchochezi unastahili kufunguliwa mashtaka ,tena hata dhamana hupewi