kantalambazi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 2,011
- 650
Ukitaka mbu wapotee kabisa mpaka tuwatafute waambie watu supu yake inaongeza nguvu za kiume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari haposoma post uilewe ndio ucomment ndio njia bora ya kuboresha jukwaa, usicomment kama mvuta bangi utaambulia matusi na kashfa
Maziwa ni mgando au fresh!
Akhbarish...tende kwa fresh milk napendaaa...
dawa ya kumpa mimba mwanamke hiyo
Tena maziwa yawe warm
Nenda pale msikiti wa mtambani/kinondoni na maeneo kadhaa kariakoo....mmmh sijui inauzwa wapi
Woooh unantamanisha ukhti...ile ya kuchovea tende inaitwaje nimesahau?
Shurba?
Tena maziwa yawe warm
Maziwa warm tena wakati hapo juu mchanganyiko unawekwa kwa fridge?
Sijamaanisha kwenye recipe
Yaani tende Na maziwa warm vinaendana sana kula pamoja which is my favourite
Hizo karanga hujaainisha, zisagwe zikiwa zimekwishakaangwa tayari ama zisage zikiwa mbichi.?