Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah.... Trump yuko sahihi kabisa.... Nadhani sababu kubwa ni matumizi mabaya ya muda[emoji13] [emoji13]Utasikia inaongeza nguvu za kiume tu.
Ndo nimesikia hivyo piaHiyo juice nzuri sana hasa sisi ambao tumeoa..
fresh ama mtundi?Mahitaji
=Maziwa
=Tende
=Karanga unaweza pia kutumia almonds(lozi),korosho
Namna ya kutengeza.
=Toa tende makokwa
=Weka katika blender pamoja na maziwa au aina ya nuts upendayo
=Saga hadi iwe laini iwe kama uji mzito kiasi
=Weka kwa friji ipate baridi kidogo
Then enjoy juice ya tende......
Ni kweli hususan kwa men .....ila ni kinywaji/mlo mzuri sana nakunywa hii every day its good for your skin too
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hii kitu ni noma sanaMahitaji
=Maziwa
=Tende
=Karanga unaweza pia kutumia almonds(lozi),korosho
Namna ya kutengeza.
=Toa tende makokwa
=Weka katika blender pamoja na maziwa au aina ya nuts upendayo
=Saga hadi iwe laini iwe kama uji mzito kiasi
=Weka kwa friji ipate baridi kidogo
Then enjoy juice ya tende......
Nimegundua ya kwamba ukiziloweka kwenye maziwa kabla ya kusaga zinazidi unogajiNgoja nikamtengenezee mtu kesho
Dah...[emoji41]Ngoja nikamtengenezee mtu kesho
Ooh realy?Nimegundua ya kwamba ukiziloweka kwenye maziwa kabla ya kusaga zinazidi unogaji
Kulikoni?Dah...[emoji41]
Mpende sana mkeo.Mmh... mpaka wife wako anaamua kukutengenezea we hujiulizi tu?
Dah...Nashangaa huku najiuliza sana 😛Kulikoni?
Acha kuua watu hatuna wake