Jukumu la kufikisha mwanamke kileleni ni mzigo mkubwa kwa wanaume tofauti na inavyofikirika

Jukumu la kufikisha mwanamke kileleni ni mzigo mkubwa kwa wanaume tofauti na inavyofikirika

Labella maneno yako ni machache na yanajenga mantiki kwenu wanawake ila kwa wanaume yanaumiza sana pale tunapojitolea kuwalea alafu kumbe akili zenu zinawaza mambo mengine ya pembeni.

Pia unadhihirisha kuwa kuwa na mwanaume nyumbani sio sehemu yako ya kutulia bali unahamaisha udhinifu period.

Kwa mantiki hii tusiwalaumu wale wanaowachukulia hatua pale wanapowafumania😄😄
Unajielezea sana aisee, wanaume hatujakutuma.
"Nasisi tunaoa wanapika nan kufua, wanalea watoto na ndio kaza zao ama, raha tunaenda pata nje kwa gen nzii, hawa mashangazi raha watapatia kwa kanisa na maombi"
 
mwanamke ajakosa chakula kwao,hajakosa kitanda,hajakosa nguo, hajakosa mafuta yakujipaka,ajafukuzwa kwaoo, mpaka aseme aje kwako kuomba kulala mwanamke alichokosa kwao ni fimbo ya nyama tu ndiomaana akaja kwako sasa weunampigaje kimoja alafu unakuja kulialia huku huyo siondugu yako nahawez kukuvumilia kamwe nilazma aje kwa wajameni tumpige visaba weutabaki kumlea ila kunawatakao kua na kazi special ya kutafuta ule udongo kwa shimo
 
Tatizo mnakamia sana ule mchezo ni wa utulivu wewe unaweka Kama unakimbizwa nani atafika kileleni

Wanaume wenye maumbile ya kawaidaa wanajua kufikisha kileleni mwanamke sasa nyie endeleeni kujiongeza
 
Wanaume tumeumbwa mateso, Moja ya mateso ni kumfikisha mwanamke kileleni na usipomfikisha haijarishi hisia na anawaza nini lawama ni kwa mwanaume.

Unaoa mwanamke kashakuwa na wanaume zaidi ya 10 na walikuwa wanamkamia hasa, mtu kama huyu utamridhisha kweli ndani ya ndoa?

Mtu kalala hajishughulishi, kichwani anawaza, vikoba, ma ex etc tafikaje kileleni kirahisi? Akichelewa au asipofika lawama kwako tena daaa.

Kweli wanaume tumeumbiwa mateso na hili ni moja wapo.
Wajinga ndio watakuwa watumwa wa wanawake.Ili afike lazima akupende na kama hariki manake hakupendi Sasa unahangaika nae wa nini? Fanya wewe ukifika sepa
 
shida mnakojoaaa mapemaaa wanaune ..mwanamke mrahisi sana kumalizana nae sema akijua weakness yako unamwaga aujaingiza

Chukua cofee glass Weka parachichii Weka asali kidogoo kunywa asbh na jion bila kukosa mwezi mzima niko pale kwa jiran..yaan itamsugua mpaka asemepoo kukojoa wewe utake mwenyewe
wakati wewe unakunywa huo mchanganyiko yeye anakunywa nini? Ukishamsugua mwenyewe aseme amekojoa unapata valuable output ipi?
 
1720608938124.png

hawa nao wanapelekana kileleni si mnaona jameni
 
Labella maneno yako ni machache na yanajenga mantiki kwenu wanawake ila kwa wanaume yanaumiza sana pale tunapojitolea kuwalea alafu kumbe akili zenu zinawaza mambo mengine ya pembeni.

Pia unadhihirisha kuwa kuwa na mwanaume nyumbani sio sehemu yako ya kutulia bali unahamaisha udhinifu period.

Kwa mantiki hii tusiwalaumu wale wanaowachukulia hatua pale wanapowafumania😄😄
Slow slow mbele kuna mteremko mkali mkuu 😹😹😹
 
Wanaume tumeumbwa mateso, Moja ya mateso ni kumfikisha mwanamke kileleni na usipomfikisha haijarishi hisia na anawaza nini lawama ni kwa mwanaume.

Unaoa mwanamke kashakuwa na wanaume zaidi ya 10 na walikuwa wanamkamia hasa, mtu kama huyu utamridhisha kweli ndani ya ndoa?

Mtu kalala hajishughulishi, kichwani anawaza, vikoba, ma ex etc tafikaje kileleni kirahisi? Akichelewa au asipofika lawama kwako tena daaa.

Kweli wanaume tumeumbiwa mateso na hili ni moja wapo.
Ni kweli unachosema lakini jukumu la kumfikisha mwanamke pale anapopahitaji sio la mwanaume tuu bali ni la wote kwakuwa mapenzi ni suala la kihisia hivyo hisia za pande zote mbili lazima zikutane kwanza bila hivyo tutaendelea kuteseka kwakuwa unakuwa tayari umeiruhusu akili yako iteseke .
 
Back
Top Bottom