kapyoko
JF-Expert Member
- May 10, 2022
- 1,365
- 2,134
Mkuu hiyo style wafipa wa Sumbawanga wanaita "salala nchite" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaume tuna tabu sana. Wanawake wengi hata huwa hawajitumi wanajua kulala tu kuchanua na wanataka wapigwe angle zote.