Jukwaa alilopanda Mbowe ni kiwango cha chini na halifai

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Haya majukwaa mbona yanatia aibu! Kha. Mnatumia mamilioni kukodi chopa halafu mnashindwa kufanya logistics ya majukwaa?

Ndio mnataka kusema mlimtendea vyema Kamanda Lissu kisa tu mwamba nae yupo jukwaa kama hili?

20230522_175003.jpg
 
Yan hapo juu ndo kapanda aliyekuwa mgombea urais!!? hata imagination ya jukwaa la siasa la jf haliwezi likawa hivyo
 
Haya majukwaa mbona yanatia aibu! Kha. Mnatumia mamilioni kukodi chopa halafu mnashindwa kufanya logistics ya majukwaa? Ndio mnataka kusema mlimtendea vyema Kamanda Lissu kisa tu mwamba nae yupo jukwaa kama hili?View attachment 2631352
Kutoka kujadili ugaidi wa mbowe hadi kujadili jukwaa alilopanda ????? Jikwaa lina maana gani basi kwenye mkutano wa hadhara?
 
Haya majukwaa mbona yanatia aibu! Kha. Mnatumia mamilioni kukodi chopa halafu mnashindwa kufanya logistics ya majukwaa? Ndio mnataka kusema mlimtendea vyema Kamanda Lissu kisa tu mwamba nae yupo jukwaa kama hili?View attachment 2631352
Yaani hawa mijamaa ni bahili sana hata hela ya jukwaa wanatia mfukoni?
 
Vipi yule wa pushup angeweza hata kupiga samasolute hapo! Ila Lissu na Mbowe hawajali! Siasa inaendelea! Ila kumbuka siasa za kwenye majukwaa zilikatazwa sasa ndio CHADEMA wanaanza mdogo mdogo kujenga majukwaa taratibu hadi yatakuwa makubwa ifikapo 2025 hakika!
 
Jamani chadema wamefulia ile mbaya. Juzi juzi tukaonyeshwa ofisi yao ilivyo, leo tunaonyeshwa majukwaa, yani inatia huruma sana. Maskini chadema 😢
 
Haya majukwaa mbona yanatia aibu! Kha. Mnatumia mamilioni kukodi chopa halafu mnashindwa kufanya logistics ya majukwaa? Ndio mnataka kusema mlimtendea vyema Kamanda Lissu kisa tu mwamba nae yupo jukwaa kama hili?View attachment 2631352
Wanatuzuga; issue ya jukwaa la Lissu limedhalilisha Upinzani nchini.

Acheni janjajanja yenu, Ruzuku iuufaishe viongozi wote wa CHADEMA na siyo wachaga tu
 
Haya majukwaa mbona yanatia aibu! Kha. Mnatumia mamilioni kukodi chopa halafu mnashindwa kufanya logistics ya majukwaa? Ndio mnataka kusema mlimtendea vyema Kamanda Lissu kisa tu mwamba nae yupo jukwaa kama hili?View attachment 2631352
CDM sio chama cha majizi kama CCM, hivyo huo ndio uwezo wao.
 
Haya majukwaa mbona yanatia aibu! Kha. Mnatumia mamilioni kukodi chopa halafu mnashindwa kufanya logistics ya majukwaa? Ndio mnataka kusema mlimtendea vyema Kamanda Lissu kisa tu mwamba nae yupo jukwaa kama hili?View attachment 2631352

Nyie hawa hamjawaelewa tu, wenyewe hawapendi maendeleo ya vitu, wanataka maendeleo ya watu. Haya mambo ya majukwaa sijui ofisi ya ufipa hawayafagilii.
 
Back
Top Bottom