Jukwaa la Siasa Linapoteza Mvuto Tujenge Hoja, Tuache Taarabu

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
22,235
Reaction score
51,111
Happy Sunday guys ❤️

Humu jukwaani kuna ile standard Ukiingia jukwaa fulani, unajua utakutana na nini
Ukiingia jukwaa kama hili la siasa unajua kabisa utakutana na quality fulani

Hata kama huyu mtu akiwa kwenye majukwaa mengine anaonekana tofauti, kuna ule msemo kwamba watu hawawezi kuwa serious muda wote✔️
So inategemewa mtu akifika kwenye hili jukwaa, itumike akili zaidi kuliko hisia

Mimi ni kijana mdogo, lakini nashangazwa na baadhi ya wakubwa zangu huku

Pengine kwa fikra au kwa maarifa, wanaacha kujikita kwenye hoja na kuanza kutukana au kuandika nachoweza kuita pumba, na jukwaa linakosa mvuto kama inavyotegemewa

Haya ni maoni tu, naomba yasionekane kama uchochezi

Na ukweli sio kwamba humu haziletwi mada nzuri na hoja zinaletwa
Ila unakuta watu wa kujenga hoja hamna, au sijui hawataki, au la sielewi🤔

Msiulize, Ooh, wewe mada za maana unazoleta ziko wapi?”
Zipo Nimeleta mara nyingi tu Ila watu hawapendi kujadili mada ngumu, wanapita juu juu
Ni wachache utakuta wanajadili huku zile post za ajabu ajabu zikipata airtime

Sasa mambo ya msingi yasipojadiliwa na kuanza kuangalia post laini laini, hii nchi wataijenga kina nani kwa mtindo huo?

Kuna wale wanaoitwa machawa
Hawa wapo wa upande tawala
Hawa wanalalamika kutukanwa
Japo siungi mkono matusi, lakini ebu njooni na mada za maana, za hoja nzito
Njooni kuwa prove wrong wapinzani wenu Kuwaambia, Nyie mnasema hivi, lakini ipo hivi

Acheni taarabu huku jukwaani
Jukwaa linapoteza mvuto

Na upande wa upinzani nao, hebu leteni hoja za maana watu wajadili
Acheni kuleta mada laini laini za marudio, jamani
Jengeni hoja jukwaani

Hii platform ni nzuri
Tupo kwa ID fake, japo usalama sio 💯 percent, ila hapa huwezi kulinganisha na IG, WhatsApp au FB

Wewe mdau wa jukwaa hili unakubaliana na mimi jukwaa limepoteza mvuto?

Je nini kifanyike ?

ShesRise_1 ✋️
 
Sasa mtu anakuja na hoja, "Sa100 anapendwa na watanzania wote hadi wanabubujikwa na machozi" mtu wa namna hiyo tumfanyeje, kuna hoja gani hapo ya kujadili.
Hii ndiyo maana ya huu uzi kwamba watu waje na hoja za maana watu wajadili

Kusema Sa100 anapendwa na Watanzania wote hadi wanabubujikwa na machozi hapo imetumika hisia zaidi

Na mtu akianza kutumia hisia kuliko akili anapoteza mvuto
 
Mijadala ya kisiasa siku hizi ishaharabika tumetoka kwenye reasoning na kuangalia uhalisia tumebaki kusifia sifia, maamuzi yaliyosimamiwa na wazee wa CCM hasa hasa mzee Mkapa kutuletea Magufuli yaliathiri mwenendo wa siasa.
 
Mmeshasema "anavyokuja ndio mnavyompokea!"

Madhara yake ndio kama hivi!!
 
Mijadala ya kisiasa siku hizi ishaharabika tumetoka kwenye reasoning na kuangalia uhalisia tumebaki kusifia sifia, maamuzi yaliyosimamiwa na wazee wa CCM hasa hasa mzee Mkapa kutuletea Magufuli yaliathiri mwenendo wa siasa.
Sawa kwahiyo tuache mambo yaende hivi hivi au tubadili mwelekeo?
 
Happy Sunday guys ❤️

Humu jukwaani kuna ile standard Ukiingia jukwaa fulani, unajua utakutana na nini
Ukiingia jukwaa kama hili la siasa unajua kabisa utakutana na quality fulani

Hata kama huyu mtu akiwa kwenye majukwaa mengine anaonekana tofauti, kuna ule msemo kwamba watu hawawezi kuwa serious muda wote✔️
So inategemewa mtu akifika kwenye hili jukwaa, itumike akili zaidi kuliko hisia

Mimi ni kijana mdogo, lakini nashangazwa na baadhi ya wakubwa zangu huku

Pengine kwa fikra au kwa maarifa, wanaacha kujikita kwenye hoja na kuanza kutukana au kuandika nachoweza kuita pumba, na jukwaa linakosa mvuto kama inavyotegemewa

Haya ni maoni tu, naomba yasionekane kama uchochezi

Na ukweli sio kwamba humu haziletwi mada nzuri na hoja zinaletwa
Ila unakuta watu wa kujenga hoja hamna, au sijui hawataki, au la sielewi🤔

Msiulize, Ooh, wewe mada za maana unazoleta ziko wapi?”
Zipo Nimeleta mara nyingi tu Ila watu hawapendi kujadili mada ngumu, wanapita juu juu
Ni wachache utakuta wanajadili huku zile post za ajabu ajabu zikipata airtime

Sasa mambo ya msingi yasipojadiliwa na kuanza kuangalia post laini laini, hii nchi wataijenga kina nani kwa mtindo huo?

Kuna wale wanaoitwa machawa
Hawa wapo wa upande tawala
Hawa wanalalamika kutukanwa
Japo siungi mkono matusi, lakini ebu njooni na mada za maana, za hoja nzito
Njooni kuwa prove wrong wapinzani wenu Kuwaambia, Nyie mnasema hivi, lakini ipo hivi

Acheni taarabu huku jukwaani
Jukwaa linapoteza mvuto

Na upande wa upinzani nao, hebu leteni hoja za maana watu wajadili
Acheni kuleta mada laini laini za marudio, jamani
Jengeni hoja jukwaani

Hii platform ni nzuri
Tupo kwa ID fake, japo usalama sio 💯 percent, ila hapa huwezi kulinganisha na IG, WhatsApp au FB

Wewe mdau wa jukwaa hili unakubaliana na mimi jukwaa limepoteza mvuto?

Je nini kifanyike ?

ShesRise_1 ✋️t

Tangu CHADOMO kitulizwe mle ndani jukwaa limekuwa la hovyo kutoka kwa vijana wa BAVICHA

USSR
 
TULIPOFIKIA MKUU USITARAJIE KITU KAMA HICHO WATU WAMESHAVURUGWA KILA MTU ANATETEA KITUMBUA CHAKE..ILI TUFIKE HUKO UNAKOTAKA, KWANZA, TUPATE "KATIBA MPYA"..VINGINEVYO NI MWENDO WA MATUSI NA UCHAWA.
Katiba itapatikanaje watu wasipokaa chini na kuanza kuchora mchoro wa hiyo katiba mpya

Katiba iliyopo sasa ilipatikana vipi?
 
Happy Sunday guys ❤️

Humu jukwaani kuna ile standard Ukiingia jukwaa fulani, unajua utakutana na nini
Ukiingia jukwaa kama hili la siasa unajua kabisa utakutana na quality fulani

Hata kama huyu mtu akiwa kwenye majukwaa mengine anaonekana tofauti, kuna ule msemo kwamba watu hawawezi kuwa serious muda wote✔️
So inategemewa mtu akifika kwenye hili jukwaa, itumike akili zaidi kuliko hisia

Mimi ni kijana mdogo, lakini nashangazwa na baadhi ya wakubwa zangu huku

Pengine kwa fikra au kwa maarifa, wanaacha kujikita kwenye hoja na kuanza kutukana au kuandika nachoweza kuita pumba, na jukwaa linakosa mvuto kama inavyotegemewa

Haya ni maoni tu, naomba yasionekane kama uchochezi

Na ukweli sio kwamba humu haziletwi mada nzuri na hoja zinaletwa
Ila unakuta watu wa kujenga hoja hamna, au sijui hawataki, au la sielewi🤔

Msiulize, Ooh, wewe mada za maana unazoleta ziko wapi?”
Zipo Nimeleta mara nyingi tu Ila watu hawapendi kujadili mada ngumu, wanapita juu juu
Ni wachache utakuta wanajadili huku zile post za ajabu ajabu zikipata airtime

Sasa mambo ya msingi yasipojadiliwa na kuanza kuangalia post laini laini, hii nchi wataijenga kina nani kwa mtindo huo?

Kuna wale wanaoitwa machawa
Hawa wapo wa upande tawala
Hawa wanalalamika kutukanwa
Japo siungi mkono matusi, lakini ebu njooni na mada za maana, za hoja nzito
Njooni kuwa prove wrong wapinzani wenu Kuwaambia, Nyie mnasema hivi, lakini ipo hivi

Acheni taarabu huku jukwaani
Jukwaa linapoteza mvuto

Na upande wa upinzani nao, hebu leteni hoja za maana watu wajadili
Acheni kuleta mada laini laini za marudio, jamani
Jengeni hoja jukwaani

Hii platform ni nzuri
Tupo kwa ID fake, japo usalama sio 💯 percent, ila hapa huwezi kulinganisha na IG, WhatsApp au FB

Wewe mdau wa jukwaa hili unakubaliana na mimi jukwaa limepoteza mvuto?

Je nini kifanyike ?

ShesRise_1 ✋️
Jukwaa hili limeingiliwa na vilaza kutoka chama tawala, uchawa umejaa hapa na matumizi ya akili yameshuka sana.
 
Tuache kutumia hisia zaidi ya Akili zetu tutumie maarifa tuliyonayo kujenga hoja zenye viwango na za kujenga zaidi
Mfano sehemu gani unaona panapwaya bado watu hawajapajadili vizuri? Angle gani watu wanatumia hisia zaidi? Wapi watu wametumia maarifa vizuri na viongozi wakaamua kuchukua mawazo wakatekeleza? Mifumo inahitaji mawazo ya watu?
 
Back
Top Bottom