ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #121
Ni hiari yako mkuuSichangii chochote mpaka labda niambiwe mimi pia ni Tatizo
Ni hiari yako mkuuSichangii chochote mpaka labda niambiwe mimi pia ni Tatizo
HayaNi hiari yako mkuu
CCM ndiye mwenye dola, dola ndiye mmiliki halali wa GENGE la Watu wasiojulikanaKwenye hili pia lawama anapewa CCM? Ki vipi yaani?
Asante kwa maoni kakaNi wazi kuwa si mbaya kwa mtu kuwa na mapenzi na chama fulani Cha kisiasa, kibaya ni pale mtu yule anapojidai kujipofusha na kushindwa kukemea na kuona mabaya yanapotendeka na chama chake au viongozi wake, kwa hali ya kawaida chama tawala kina mambo mengi maovu na mabaya inayofanya hivi sasa wala halihitaji D mbili kuliona, sasa mbaya zaidi ni pale anapotokea kada flani ambaye either kwa kupofushwa na mapenzi yake kwa chama au may be kutumika na kikundi fulani kusafisha taswira mbovu ya viongozi wake anakuja either kusifia maovu ya viongozi na kuuaminisha umma kiongozi anapendwa, mara ooh sijui hatutapata kiongozi kama yeye ila ukiingia kusoma vizuri huoni ni kipi cha maana alichofanya kiongozi huyo unakuja kugundua ni ngonjera tu, in short kufupisha maelezo ni kuwa kuna watu humu kutoka chama tawala ndiyo wanafanya jukwaa la siasa lipoteze mvuto na kukosa mashiko kwa hoja zao duni zilizojaa uongo na ulaghai na kusifia hata visivyostahili kusifiwa, na kwa kuwa jukwaa hili limejitanabaisha kwa slogan yake ya uhuru wa kuongea kwa uwazi bila mipaka hivyo haiwezekani kuwastopisha katika hayo yote zaidi tu ya either kusoma na ku ignore au kuongea Chochote kitu unachoona kinafaa kwa wakati huo ijapokuwa matusi si kitu sahihi
Sawa bwana Simba 🙏🙏CCM ndiye mwenye dola, dola ndiye mmiliki halali wa GENGE la Watu wasiojulikana
Anza kwanza kuongea na Chawa wajirekebishe.Hii ndiyo maana ya huu uzi kwamba watu waje na hoja za maana watu wajadili
Kusema Sa100 anapendwa na Watanzania wote hadi wanabubujikwa na machozi hapo imetumika hisia zaidi
Na mtu akianza kutumia hisia kuliko akili anapoteza mvuto
Mimi naweza je kuongea nao jamani dahAnza kwanza kuongea na Chawa wajirekebishe.
Karibu ndani ya hojauna hoja
Sisi wengine atuchangii mada zinazohusu siasaHappy Sunday guys ❤️
Humu jukwaani kuna ile standard Ukiingia jukwaa fulani, unajua utakutana na nini
Ukiingia jukwaa kama hili la siasa unajua kabisa utakutana na quality fulani
Hata kama huyu mtu akiwa kwenye majukwaa mengine anaonekana tofauti, kuna ule msemo kwamba watu hawawezi kuwa serious muda wote✔️
So inategemewa mtu akifika kwenye hili jukwaa, itumike akili zaidi kuliko hisia
Mimi ni kijana mdogo, lakini nashangazwa na baadhi ya wakubwa zangu huku
Pengine kwa fikra au kwa maarifa, wanaacha kujikita kwenye hoja na kuanza kutukana au kuandika nachoweza kuita pumba, na jukwaa linakosa mvuto kama inavyotegemewa
Haya ni maoni tu, naomba yasionekane kama uchochezi
Na ukweli sio kwamba humu haziletwi mada nzuri na hoja zinaletwa
Ila unakuta watu wa kujenga hoja hamna, au sijui hawataki, au la sielewi🤔
Msiulize, Ooh, wewe mada za maana unazoleta ziko wapi?”
Zipo Nimeleta mara nyingi tu Ila watu hawapendi kujadili mada ngumu, wanapita juu juu
Ni wachache utakuta wanajadili huku zile post za ajabu ajabu zikipata airtime
Sasa mambo ya msingi yasipojadiliwa na kuanza kuangalia post laini laini, hii nchi wataijenga kina nani kwa mtindo huo?
Kuna wale wanaoitwa machawa
Hawa wapo wa upande tawala
Hawa wanalalamika kutukanwa
Japo siungi mkono matusi, lakini ebu njooni na mada za maana, za hoja nzito
Njooni kuwa prove wrong wapinzani wenu Kuwaambia, Nyie mnasema hivi, lakini ipo hivi
Acheni taarabu huku jukwaani
Jukwaa linapoteza mvuto
Na upande wa upinzani nao, hebu leteni hoja za maana watu wajadili
Acheni kuleta mada laini laini za marudio, jamani
Jengeni hoja jukwaani
Hii platform ni nzuri
Tupo kwa ID fake, japo usalama sio 💯 percent, ila hapa huwezi kulinganisha na IG, WhatsApp au FB
Wewe mdau wa jukwaa hili unakubaliana na mimi jukwaa limepoteza mvuto?
Je nini kifanyike ?
ShesRise_1 ✋️
Sawa mkuu hakuna tabu juu ya hilo kuchangia mada fulani au kutochangia ni hiari yakoSisi wengine atuchangii mada zinazohusu siasa