Jukwaa la Siasa Linapoteza Mvuto Tujenge Hoja, Tuache Taarabu

Jukwaa la Siasa Linapoteza Mvuto Tujenge Hoja, Tuache Taarabu

refer to your heading umesema watu waache taarabu wajenge hoja plus maneno mengine, how come uite mawazo ya wenzio ni taarabu? hiyo yote ni kwa sababu wameenda kinyume na wewe,,

ok kingine mfano kuna baadhi ya wachangiaji wamesema jukwaa limevamia na chawa wa mama, shida sio kuvamiwa ila wao wanaplay part yao kwa kutoa mawazo yao kichwani na namna wanavyo mu appreciate mtu,,, hatuwezi tukafanana kwenye kufikiri
hatuwezi tukafanana kwenye kufikiri
 
kila mada lazima iwe na opposing and proposing side hicho unachoweza kuita ni "pumba" ni kwasababu mtu akaenda nje na matakwa yako kwahiyo cha msingi wew focus na unayo yaona ni sawa na yasio sawa achana nayo

mfano hapo mwisho umeuliza kama mdau anakubaliana na wew kwamba jukwaa limepoteza mvuto, mind you kuna watu hawaoni kama mvuto umepotea ndo maana nyuzi za siasa hazijaacha kupostiwa humu
💯
 
lucas mwashambwa kafungua uzi unasema BOT waweke picha ya mama kwenye note za pesa.

BOT ichapishe /itengeneze pesa mpya zenye picha ya mama...JADILI
Tatizo la huo uzi wake ni lipi?
Kwa muono wake kaona hicho kinafaa kuwa agenda za BOT kwa sasa na mtazamo wake sio sheria kiasi cha kuanza kukuumiza kichwa.
 
Back
Top Bottom