Unamalizia na jf usiku wa ma8Kwa upande wangu huanza na MMU kisha chit-chat baada ya hapo hurudi love connect na kuelekea Jukwaa la siasa nikishamaliza hilo naingia jukwaa la ma-star kisha hoja mchanganyiko namalizia na Jukwaa la kimataifa.
Kuna majukwaa huwa siingii kabisa ila la wakubwa huingia siku mojamoja usiku.
Kwako wewe vipi
Hapana sijalewa na Mtandao!Okay, so hujawahi kuwa na mzuka tu ukiamka labda unaota ota kuwa leo lazima nichungulie jukwaa la siasa nione kama MO kapatikana
Kwani jukwaa la siasa linahusiana na siasa tu? Hapana bana ndio maana kuna nyuzi hadi za kutekana au nayo ni siasaMim hua sina jukwaa Maalum pale ntakapoona kuna mada zimenivutia bas huchangia ila kwenye siasa mim ilinipitia upande wa kushoto.