Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,293
Kwa upande wangu huanza na MMU kisha chit-chat baada ya hapo hurudi love connect na kuelekea Jukwaa la siasa nikishamaliza hilo naingia jukwaa la ma-star kisha hoja mchanganyiko namalizia na Jukwaa la kimataifa.
Kuna majukwaa huwa siingii kabisa ila la wakubwa huingia siku mojamoja usiku.
Kwako wewe vipi
Kuna majukwaa huwa siingii kabisa ila la wakubwa huingia siku mojamoja usiku.
Kwako wewe vipi