Jukwaa lipi uingiapo JF ndio la kwanza kulipekekua?

Dionize N

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
1,848
Reaction score
3,293
Kwa upande wangu huanza na MMU kisha chit-chat baada ya hapo hurudi love connect na kuelekea Jukwaa la siasa nikishamaliza hilo naingia jukwaa la ma-star kisha hoja mchanganyiko namalizia na Jukwaa la kimataifa.

Kuna majukwaa huwa siingii kabisa ila la wakubwa huingia siku mojamoja usiku.

Kwako wewe vipi
 
Unamalizia na jf usiku wa ma8
 
Mim hua sina jukwaa Maalum pale ntakapoona kuna mada zimenivutia bas huchangia ila kwenye siasa mim ilinipitia upande wa kushoto.
 
Kwani jukwaa la siasa linahusiana na siasa tu? Hapana bana ndio maana kuna nyuzi hadi za kutekana au nayo ni siasa
 
Back
Top Bottom