Juliana Shonza Afunga Ndoa

hongera sana,ungeendelea kubaki chagadema usingeolewa kamwe................
wangekufanya big G utamu ukiisha tupa kule.......... hata viti maalumu usingepewa............

Kumbe ukiwa CCM ukitafunwa unapewa viti amaalum! CC: Viky kamata. Lakini mbona mkiwa viti maalum wakitaka kuolewa mnawafanyia zengwe ndoa inaota mbawa, Juliana kaovertake kaanza na ndoa baadae viti maalum atapata tu, CCM michepuko ndio dili eg.Mh. kutangaza utalii nje ya nchi.
 
Sio mbaya sana Haina makombo hiyo japo kiukweli imechoka.

!
!
na kweli mdau, muhimu ni kuosha tu vizuri na maji na sabuni halafu unakamulia limao unakula mzigo tight fresh . Umeingiza na una uhakika imo na ukahisi ka kakukwepa unashuka unatia limao.
 
Nilitegemea 'the colour of wedding' iwe green&yellow ili kuonyesha mahaba na chama tawala!
 
Mmmm kule chagadema michepuko hamna kabisa,,kule mbowe ameshibana na mkewe,dr slaa ndoa yake ipo imara!machemli nae ndoa imebamba!!
 
Hongera zako Mungu awatangulie kwenye maisha mapya awape hekima na uvumilivu mkodondoka mnanyanyuka na kujiking'uta maisha yanaendelea all the best
 
Sio mbaya sana Haina makombo hiyo japo kiukweli imechoka.

!
!
na kweli mdau, muhimu ni kuosha tu vizuri na maji na sabuni halafu unakamulia limao unakula mzigo tight fresh . Umeingiza na una uhakika imo na ukahisi ka kakukwepa unashuka unatia limao.
 
Dah! mimi ndo basi tena, nishapigwa bao! nilitegemea siku nikionana naye nimwambie yafuatayo:
1.Ninampenda kwa dhati
2.Nina nia ya dhati ya kuishi naye
3.Ninataka nimfanye awe mke mwema na mwenye heshima kubwa kwa jamii
4.Nimfanye awe mwanamke ambaye atajisikia raha ya kuishi maisha ya ndoa.
5.Kumthamini na kumjali kwa hali na mali
6.Kumfanya awe mwanamke mwenye hofu ya MUNGU.

Lakini ndo basi tena, jamaa kapita kule. nimekubali matokeo lakini bado nia ya kumpenda ipo pale pale, na kama ikitokea wakaachana mimi nitamfuata, maana nia njema HAIFI KAMWE.
 
Mmmm kule chagadema michepuko hamna kabisa,,kule mbowe ameshibana na mkewe,dr slaa ndoa yake ipo imara!machemli nae ndoa imebamba!!
Nakushangaa wewe ulieingiza itikadi za vyama kwenye mapenzi, kila mtu anauwezo wa kujitambua na kuamua style ya maisha, vipi kunyooshea wenzio vidole? Walioko ccm wote ndoa zao ziko imara? Bora Mbowe achukua mtu mzima alieamua style hiyo ya maisha vipi JUMA KAPUYA kuwatumia watoto wadogo yatima? Au kwa kuwa alimlipia ada umeona ni sawa alilofanya?
 
hongera sana,ungeendelea kubaki chagadema usingeolewa kamwe................
wangekufanya big G utamu ukiisha tupa kule.......... hata viti maalumu usingepewa............

Pole sana, inaonekana umewahi kufanywa big G huko chadema
 
Yule dada aliyehama chama chake cha awali na kwenda chama kingine Maarufu kama Juliana Shonza ameolewa na kufunga ndoa na bwana David...

Hongera zakee.

Makda waliosafilishwa kutoka pande mbali mbali za dunia kuja kutoa sapoti ukumbini kwenye harusi hiii
 
Attachments

  • bulk-transport-3.jpg
    29.2 KB · Views: 279
  • unusual_transport_23.jpg
    25 KB · Views: 270

Hajitambui huyo.... muulize rais wa nchi yake ana watoto wangapi?
 
Hajitambui huyo.... muulize rais wa nchi yake ana watoto wangapi?
Si ndio wapuuzi wenyewe hawa tena hao watoto wa mwenyekiti wa chama chake wanatunzwa na kodi zetu, ndio maana kila siku wanakimbizana na wauza korosho kukusanya matumizi ya watoto wa mkuu wao wanasema mapato ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…