miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
kwa sababu kuna helathubutuuu, wewe mbona ndoa yako inayumbayumba lakini umeing'ang'ania bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa sababu kuna helathubutuuu, wewe mbona ndoa yako inayumbayumba lakini umeing'ang'ania bado
Ccm usigongewe wewe umekuwa nani?
hongera sana,ungeendelea kubaki chagadema usingeolewa kamwe................
wangekufanya big G utamu ukiisha tupa kule.......... hata viti maalumu usingepewa............
Hahaha..lolest..Kwanin wasema hivyo???
kusaidiwa ni muhimu tu
Sio mbaya sana Haina makombo hiyo japo kiukweli imechoka.
Kumbe ukiwa CCM ukitafunwa unapewa viti amaalum! CC: Viky kamata. Lakini mbona mkiwa viti maalum wakitaka kuolewa mnawafanyia zengwe ndoa inaota mbawa, Juliana kaovertake kaanza na ndoa baadae viti maalum atapata tu, CCM michepuko ndio dili eg.Mh. kutangaza utalii nje ya nchi.
2015 kampni zikianza hii Ndoa itakuwa kwenye wakati Mgumu sana.
Sio mbaya sana Haina makombo hiyo japo kiukweli imechoka.
Nakushangaa wewe ulieingiza itikadi za vyama kwenye mapenzi, kila mtu anauwezo wa kujitambua na kuamua style ya maisha, vipi kunyooshea wenzio vidole? Walioko ccm wote ndoa zao ziko imara? Bora Mbowe achukua mtu mzima alieamua style hiyo ya maisha vipi JUMA KAPUYA kuwatumia watoto wadogo yatima? Au kwa kuwa alimlipia ada umeona ni sawa alilofanya?Mmmm kule chagadema michepuko hamna kabisa,,kule mbowe ameshibana na mkewe,dr slaa ndoa yake ipo imara!machemli nae ndoa imebamba!!
hongera sana,ungeendelea kubaki chagadema usingeolewa kamwe................
wangekufanya big G utamu ukiisha tupa kule.......... hata viti maalumu usingepewa............
Yule dada aliyehama chama chake cha awali na kwenda chama kingine Maarufu kama Juliana Shonza ameolewa na kufunga ndoa na bwana David...
Hongera zakee.
![]()
![]()
Itabidi jamaake asicheze mbali?..au unamaana nyingine?
Nimetoka peupeee!
Nakushangaa wewe ulieingiza itikadi za vyama kwenye mapenzi, kila mtu anauwezo wa kujitambua na kuamua style ya maisha, vipi kunyooshea wenzio vidole? Walioko ccm wote ndoa zao ziko imara? Bora Mbowe achukua mtu mzima alieamua
style hiyo ya maisha vipi JUMA KAPUYA kuwatumia watoto wadogo yatima? Au kwa kuwa alimlipia ada umeona ni sawa alilofanya?
Si ndio wapuuzi wenyewe hawa tena hao watoto wa mwenyekiti wa chama chake wanatunzwa na kodi zetu, ndio maana kila siku wanakimbizana na wauza korosho kukusanya matumizi ya watoto wa mkuu wao wanasema mapato ya nchiHajitambui huyo.... muulize rais wa nchi yake ana watoto wangapi?