Juliana shonza; Waambie wanawake wenzako kama hawawezi kuhudumia watoto wao wawapeleke kwa Baba Zao full stop na sio hizo ngonjera ulizotoa

Umeandika kama wewe bdio mwanamke haladu shonza ndio meanaume

This is too low
 
Kilichokufanya ukazaa naye ni nini?

Hebu pelekeni nyege zenu mlipomwagiana sperms

Unazungumzia laana ya mtoto, why usilaaniwe wewe kwanza unayejaza kila tobo
 
Sasa ndugu yangu..... baba wa mtoto anajiweza, wewe hapo maisha yamekupiga kaisi kwamba Kukaa na huyo mtoto mjini imekushinda (ndio maana umempeleka mtoto wako kijijini)
Una mtendea haki kweli mwanao kwa kumficha dhidi ya baba yake even though hata English Medium angejichakata akamlipia
Vijijini huko napo maadili mabovu Bora hata huku mjini maana waalimu wanatembea na wanafunzi wao kama hamna kesho, Fanya huo upuuzi mjini mzazi anaweza kukufunga
 
Mfumo wa Sheria unaozungumzia ni ulitungwa Kipindi ambacho hapakuwa na Haki za Wanawake kufanya Kazi.

Kumbuka zamani wanawake hawakuwa WATU ndio maana waliuzwa kwa kiitwacho Mahari, na pia walinyimwa Haki za KIUTU kama kumiliki Mali na kufanya Kazi.

Wanawake hata kujitunza wao wenyewe walikuwa hawawezi kujitunza kwa sababu walinyimwa Haki ya kufanya Kazi. Sasa kama Mtu hawezi kujitunza mwenyewe ndio unataka amtunze mtoto au watoto aliowazaa. Atawezea wapi?

Lakini Dunia ya Leo wanawake wamepewa Haki za kufanya Kazi na Fursa zingine ambazo wanazo wanaume.

Hivyo child support pia nao wanatakiwa kuitoa au Yule anayekaa na mtoto ndiye anatakiwa awe na uwezo wa kumlea huyo mtoto.

Tatizo hapa najadili na mtu ambaye Kwanza Akili yake IPO analogy, kizamani.
Wakati Mimi nazungumzia ulimwengu uliopo na ujao (New World Order)

So nafahamu Kabisa hatuwezi kuelewana na nakupa Haki ya kuwaza na kutoa maoni kwa namna Akili yako ilivyoweza KUFIKIRI kwa mfumo wa analogy
 
au unataka kusema wewe ndio una akili sana, kuliko serikali nyingi duniani na wanaume wote wanaohudumia watoto wao wanaoishi na mama zao siyo
Mkuu sasa hilo swali lako, akijibu NDIYO, utaendeleaje?😄😂
 
Tatizo siyo mtoto kuenda english medium bali tatizo ni tabia na maadili ya mtoto, mtoa mada anadai kwamba other things being constant mtoto akilelewa na mama huwa na maadili mabovu ila akilelewa na baba huwa na maadili mema, sasa ndio nakutaka unipe hizo takwimu za watoto kuharibikiwa zaidi wakikulia vijijini kuliko wakikulia mijini
Kijana unaishi dunia gani hebu kuwa serious basi aliyekuambia mimi naongelea kipindi ambacho wanawake hawakuruhusiwa kufanya kazi ni nani, mimi naongelea kipindi hichi hichi ambacho feminism imeshika hatamu dunia nzima niambie ni sheria gani inayomzuia mwanaume kutoa child support eti kisa mwanamke aliyezaa naye anafanya kazi, hebu jaribu kufuatilia nchi kubwa na zilizostaarabika kama za ulaya na marekani dunia ya leo zinaendeshaje kesi kama hizi za mwanaume kutelekeza watoto wake
Mkuu sasa hilo swali lako, akijibu NDIYO, utaendeleaje?😄😂
Mkuu nina wasiwasi na elimu yako ikiwa hujui hata maana ya "rhetorical question", well hiyo maana yake ni swali ambalo linaulizwa ikiwa muuliza swali tayari analo jibu la hilo swali na si kwamba anahitaji jibu la hilo swali toka kwa muulizwa swali, hilo swali nimeuliza nikiwa na jibu kuwa obviously "hawezi kuwa na akili kuliko serikali za nchi nyingi duniani" hivyo angejibu "ndiyo" angezidi kuthibitisha upumbavu wake kwenye masuala haya
 
Ndio tatizo la elimu ya kukariri(kikasuku) uliyonayo.

Wewe ukiambiwa Sheria ikitungwa nini inazingatiwa najua utabaki kupiga blah blah
 
mtoto akilelewa na mama huwa na maadili mabovu ila akilelewa na baba huwa na maadili mema
Hii hata Mimi naafiki kabisa, mtoto kuharibikiwa akiwa na single father ni ngumu kuliko single mother ; ukiona mwanaume kaweka commitment kwamba watoto wake atawatunza mwenyewe na sio kupeleke kwa Bibi Yao (Mama yake) then hapo usitegemee majanga yoyote ya kipuuzi
 
Wewe hata huelewi unakaza kichwa tuu, kumuelewesha mtu kama wewe ni kazi sana
 
Ndio tatizo la elimu ya kukariri(kikasuku) uliyonayo.

Wewe ukiambiwa Sheria ikitungwa nini inazingatiwa najua utabaki kupiga blah blah
Wewe usiye na elimu ya kukariri sema sheria ikitungwa inazingatia nini
Hiyo ni kutokana na kanuni na takwimu gani mkuu, kwamba hawa watu waliokuja kuwa wauaji, vibaka, wazinzi, mashoga, matapeli, mafisadi, nk wote wamelelewa na masingle mother, na hawa watu wema wote wamelelewa na kina baba peke yao ama wazazi wote wawili si ndio
Wewe hata huelewi unakaza kichwa tuu, kumuelewesha mtu kama wewe ni kazi sana
What a defensive mechanism, lete hoja kijana, ukiwa na hoja lazima utaeleweka tu
 
Sina data ila kuna vitu nikiviwaza vina make sense. Single father anaweza kuwa na nafasi nzuri zaidi ya kumlea mtoto kwa mafanikio kuliko single mother. Sio kwamba mchango wa single mother ni mdogo, bali kuna vipengele fulani vinavyoweza kumpa single father faida katika malezi ya mtoto.

1. Uthabiti wa Kiuchumi na Ugawaji wa Rasilimali

Kwa ujumla, single father ana nafasi kubwa zaidi ya kuwa na uthabiti wa kifedha ikilinganishwa na single mother. Hii ni kwa sababu wanaume mara nyingi hupata mishahara mikubwa na kushikilia nafasi za juu zaidi kazini. Hali hii inawapa uwezo wa kutoa elimu bora, huduma za afya, na fursa za maendeleo kwa watoto wao. Kwa upande mwingine, single mother wengi wanakumbwa na changamoto za kifedha, jambo linaloweza kuathiri uthabiti wa maisha ya watoto wao.

2. Nidhamu na Muundo wa Maisha

Single father kwa kawaida huhusishwa na kuweka nidhamu na mipaka thabiti kwa watoto wao. Mtoto anayekuzwa katika mazingira yenye nidhamu na uwajibikaji mara nyingi hukua na tabia za kujituma, kuheshimu mipaka, na kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi bora maishani. Ingawa single mother pia anaweza kuweka nidhamu, shinikizo la kijamii mara nyingi linamlazimisha kuwa mlezi wa huruma zaidi, hali ambayo inaweza kupelekea kulegeza masharti na kupunguza uthabiti wa nidhamu kwa watoto.

3. Mdhibiti wa Msongo wa Mawazo na Changamoto za Kijamii

Single mother mara nyingi hukabiliwa na msongo mkubwa wa mawazo kutokana na majukumu mengi anayobeba—kama vile kulea watoto, kufanya kazi, na kutimiza matarajio ya kijamii. Hili linaweza kuathiri ufanisi wake wa kulea watoto. Kwa upande mwingine, single father anaweza kuwa na mtazamo wa kimantiki zaidi wa kushughulikia changamoto, kugawanya majukumu, na kuhakikisha uthabiti wa maisha ya watoto bila kulemewa sana na hisia.

4. Ukaribu wa Kipekee Kati ya Baba na Mtoto

Single father mara nyingi hujihusisha moja kwa moja katika maisha ya watoto wake, kwani jamii haitarajii kwa kawaida wanaume kuwa walezi wa peke yao. Hili huwafanya kuwa makini zaidi na kuongeza uwezekano wa kujenga uhusiano wa karibu na watoto wao. Tafiti zinaonyesha kuwa watoto wanaolelewa na single father aliye makini wanakuwa na hali nzuri ya kisaikolojia na kujitambua zaidi.

5. Mfano Bora wa Kuigwa kwa Jinsia Zote

Watoto wa kiume wanaolelewa na single father mara nyingi hunufaika kwa kuwa na mfano wa moja kwa moja wa jinsi ya kuwa mwanaume mwenye nidhamu na uwajibikaji, jambo linalopunguza tabia hatarishi. Kwa upande mwingine, watoto wa kike wanaolelewa na single father wanaweza kupata msukumo wa kuwa na malengo makubwa maishani kutokana na mtazamo wa baba kuhusu kazi, uhuru, na kujitegemea. Ingawa single mother pia anaweza kuwa mfano mzuri, uwepo wa single father unaweza kuongeza uthabiti katika malezi, hasa katika jamii zinazotilia mkazo mamlaka ya kiume.
 
Huyo mama wakujiita Jadda asichokijua ni kwamba dunia ya sasa inapiga vita mfumo dume ila haitaki kuuacha mfumo dume kwenye angle ambayo mwanamke ni mnufaika kwa mfumo dume.

Hiyo sheria ya child support imetungwa kwa kupita mule mule kwenye advantages za mfumo dume kwa mwanamke, kwamba a mother is a care taker while a father is a provider provided that a father is sole breedwinner.

Waliotunga hiyo shule ya child support walimuangalia mwanamke kwa twasira ya kizamani kwamba hana kipato(enzi za mfumo dume), kwa makusudi wakalazilimisha kuipitisha itumike kipindi hiki ambacho wanawake nao na wana access za nyanja zote za kujiingizia pesa sawa na mwanaume.

Imagine leo hii eti Kim kardashian licha ya utajiri mkubwa alionao lakini bado anapokea $200k kila mwezi kutoka kwa Kanye west kama child support si wizi huo? Kisa tu eti yeye ndio anayekaa na watoto... hapo tukisema watoto wamekuwa mutaji ya wanawake kudangia kutoka kwa waume zao wa zamani tunakosea?

Na sio hiyo tu, hata sheria ya mgao wa mali na mambo ya divorce settlement zimetungwa kwa kufuata taswira ya mwanamke wa zamani ambaye alikuwa ni tegemezi na hazijazangatia kabisa misingi ya maisha ya kisasa.
 
Kuna report inasema kwamba angalau 70% ya wafungwa weusi waliopo kwenye jela za marekani wamelelewa na masingle mothers.

Hii tu peke yake inatosha kutupa jibu kuhusu single motherhood vs single fatherhood kuwa ni parenthood gani iliyobora...
 
Ni viscous circle after viscous circle, unakuta mtoto wa kike kalishwa sumu dhidi ya baba yake ambaye hayupo na akija kupata mwanaume wake naye anaanza mtreat kutegemeana na jinsi Mama yake anavyoongea

Mtoto wa kiume naye unakuta analishwa sumu dhidi ya baba yake ambaye hayupo , anakuja kupata mwanamke (aliyelelewa na single maza hapo juu) anatambua kwamba Baba alikimbia kwasababu 😂
 
Mtoto yupo salama kuishi na mama yake kama ana akili timamu vizuri kuliko akaishi na mama wa kambo
 
wajibu wa baba kwa mtoto uko katika kushiriki kumleta huyo mtoto duniani na siyo kuishi naye tu, ndio maana sheria zinatambua hata mtoto wa nje ya ndoa ana haki ya kupata mgawanyo wa mali pale baba anapofariki bila kujali alikuwa anaishi naye au la
Mkuu kama kuna mabadiliko kwenye hili ambayo siyafahamu ningefurahi ungeyaonesha kwa reference, Maana kwa nijuavyo maktaba za sheria zinaonesha kuwa msimamo wa sheria Tanzania unasisitiza kuwa mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kurithi mali za mzazi wake, yeye mambo yake yanaishia pale baba yake anapofariki dunia na sio vinginevyo. Msimamo huo uliwekwa na Mahakama ya Rufani ya Tanzania (Majaji Watatu) kwenye kesi ya VIOLET ISHENGOMA KAHANGWA AND JOVIN MUTABUZI v THE ADMINISTRATOR GENERAL AND MRS. EUDOKIA KAHANGWA 1990 TLR 72 (CA) iliamua kuwa wajibu wa baba kwa mtoto wa nje unaishia pale baba huyo anapofariki dunia na haki ya kurithi haimwezi kumfuata huyo mtoto wa nje. Nimenuku sehemu ya hukumu hiyo

In the English case of In re Harrington [1908] Ch.687 which we find to be persuasive, it was held that a putative father's obligation under a bastardy or affiliation order ends with his death, that such obligation is personal and the arrears under such an order are not recoverable against his estate. So that even if the word "children" in section 129 (1) of the Law of Marriage Act were to be enlarged to include illegitimate children and hence to say that the deceased in the instant case had a duty under the law to maintain his two illegitimate children then on the strength of Harrington's case such duty or obligation being only personal, would not service him; it would have ended with his death.
 
Juliana Shonza mwenyewe ni singo mama la watoto 2.
 
Yumo humu tangu haujapata vyeo vyeo
Akijibu nitagi nimsome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…