Julieth mama yako anakusema kwenye daladala

Ta comment kwa urefu aki fikisha 30 year

Time is a drug. Too much of it kills you
 
Mimi siwezi kumsema mama yangu au ndugu yangu wa tumbo moja kwa mtu wa nje ya familia yetu achilia mbali kwenye daladala kwa hiyo hicho naona kama ni kitendo cha ajabu kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi jua alikuwa anamsema kwa nani,tatizo ni kwamba mtoa mada hana masikio bali ana satelaiti zenye uwezo wa hali ya juu.
 
1. Hajui kupika!?
2. Anawaza starehe!

Asipojirekebisha, atakuja kusimulia hata shoga zake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada kama wewe ni "me" basi wewe ni wa kiume, tafuta kazi saloon ufanye kazi za kusugua migongo ya wanaume.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umbea wa wanaume wa Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda tumuulize mtoa mada, huyo mama umesikia maongezi bahati mbaya au alikuwa anawasimulia watu wa kwenye daladala?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana,asilimia kubwa ya watanzania ni watu ambao hawajastaarabika kabisa.

Kuzungumza mambo ya kifamilia kwenye watu wasio ndani ya familia yenu ni jambo la hovyo na linaloweza kufanywa na watu wasio wastaarabu.

Sio tu kwa mambo mabaya ila kuzungumzia mambo yanayohusu familia kwanye daladala ni jambo la hovyo mno.
 
Atakuwa mama wa kambo

Sent using Jamii Forums mobile app

Achilia mbali kosa la huyo mama, kuongelea jambo mahali ambapo si pake.

Kama kweli ni mama wa kambo na anayo yasema ni ukweli mtupu, basi huyu mama ni mzuri sana.

Kuna mdau mmoja huwa anajivunia sana mama ake wa kambo. Kila akiongelea maisha yake ya usomaji wake, haachi kumsifia yule mama ake wa kambo. Hii ziada tu.

Siku hizi mtu ukiwa mkweli anapewa majina mengi sana.
 
Reactions: Sax
napita tu,20% man water.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…