Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Labda tumuulize mtoa mada, huyo mama umesikia maongezi bahati mbaya au alikuwa anawasimulia watu wa kwenye daladala?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea Mama Jully alikuwa amekaa na nani muda huo uskute alkuwa na Shangazi wa Jully?
Sent using Jamii Forums mobile app