Julieth mama yako anakusema kwenye daladala

Julieth mama yako anakusema kwenye daladala

Mama amechoka tabia za mwanae ameamua kuzimwaga kwny daladala! Mpe pole
 
Kama Unaitwa Julieth unamiaka 25 Unakaa Kimara... Mama Yako Anakusema Kwenye Daladala Eti Uko mvivu Sana, Hujui Kupika, Unapenda Pesa, Starehe Na Hata Ukiolewa Huwezi Kudumu Kwenye Ndoa. Mama Yako Anaongea Kwa Uchungu Sana, Tafadhali Badilisha Tabia Julieth

Sent using Jamii Forums mobile app
Watakao pinga hapa ndo walewale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi siwezi kumsema mama yangu au ndugu yangu wa tumbo moja kwa mtu wa nje ya familia yetu achilia mbali kwenye daladala kwa hiyo hicho naona kama ni kitendo cha ajabu kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia INA maajabu sana
mama yangu mzazi amenisengenya kwa mtu wa mbali
huyo MTU akaona siyo sawa akaniambia vyote..
kwa sasa mama nimempa likizo mpaka korona ipite nitamrudia
 
Daaah ni Julieth yule yule ama jaman? Ila mbona sio mvivu sana anajua kufua pichu yake verma kabisa
 
Tatizo litakua kwa mama mwenyewe, kwani yeye ndio aliekichonga hicho kinyago, hivyo sifa zote nzuri au mbaya kazitengeneza yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Unaitwa Julieth unamiaka 25 Unakaa Kimara... Mama Yako Anakusema Kwenye Daladala Eti Uko mvivu Sana, Hujui Kupika, Unapenda Pesa, Starehe Na Hata Ukiolewa Huwezi Kudumu Kwenye Ndoa. Mama Yako Anaongea Kwa Uchungu Sana, Tafadhali Badilisha Tabia Julieth

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ndiye alimlea hovyo asilalamike
 
Kama vipi muombe huyo mama akupe hta usajili wa mkopo tu.
 
Kama Unaitwa Julieth unamiaka 25 Unakaa Kimara... Mama Yako Anakusema Kwenye Daladala Eti Uko mvivu Sana, Hujui Kupika, Unapenda Pesa, Starehe Na Hata Ukiolewa Huwezi Kudumu Kwenye Ndoa. Mama Yako Anaongea Kwa Uchungu Sana, Tafadhali Badilisha Tabia Julieth

Sent using Jamii Forums mobile app
Julieth na Janet ni mtu mmoja?
Screenshot_20200319-172820_cropped.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom