Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #21
Hajui wanasiasa huyo😆🤣Kama aliweza simamisha mechi ya simba na yanga atashindwaje kusimamisha ligi🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajui wanasiasa huyo😆🤣Kama aliweza simamisha mechi ya simba na yanga atashindwaje kusimamisha ligi🤣🤣🤣
Kuweka rekodi sawa, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...Julio hakuwepo wakati Mwadui inashuka darajaAliwahi kuishusha daraja Mwadui FC..........naamini akiendelea kuwepo pale Namungo basi kile kikombe cha kushuka daraja kinawahusu kabisa
Waziri Mkuu Majaliwa atoe hicho kirusi haraka sana kwenye timu yake
Kwa kweli tunajidanganya....sasa anashindwa kuongelea timu yake anaongelea mambo ya yanga...namungo uongozi wao haujielewi kabisa.Hawa ndiyo makocha wetu tunaotaka wakafundishe nje ya Tz..........mtu anaropoka ropoka tu kama zuzu.......
Anadhani hapa ulaya ..huku ni kwa manayani🤣🤣🤣🤣Hajui wanasiasa huyo😆🤣
Tofautisha ligi kuvunjwa na kusimamishwa coz ikisimamishwa it means itaendelea na kama ikisimamishwa lazima kuwe na sababu za msingi na pia mtambue athari za Mpira kuingiliwa na siasaKama aliweza simamisha mechi ya simba na yanga atashindwaje kusimamisha ligi🤣🤣🤣
Yaaani siasa iingilie mpira...... Au hamjui kilichoipata Kenya,adhabu yake baada ya wanasiasa kuingilia shirikisho la mpiraAnadhani hapa ulaya ..huku ni kwa manayani🤣🤣🤣🤣
Mwadui iliwahi shuka daraja na kupanda tena kabla ya kushuka msimu uliopitaKuweka rekodi sawa, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...Julio hakuwepo wakati Mwadui inashuka daraja
African stupidity knows no boundaries kaka.Tofautisha ligi kuvunjwa na kusimamishwa coz ikisimamishwa it means itaendelea na kama ikisimamishwa lazima kuwe na sababu za msingi na pia mtambue athari za Mpira kuingiliwa na siasa
Huo ni mfumo wa uendeshaji wa ligi na nikutokana na miundombinu mibovu kama nchi tulinayo,let's say EPL wanacheza kucheza Wednesday na Saturday kwasababu ya miundombinu bora ya usafiri waliyonayo na inarahisisha timu kufika kwa wakati bila uchovu kupitia hili ligi yao inaweza kuisha kwa haraka ila Tanzania hii Coastal hawezi kucheza alhamis halafu jumapili awepo tena uwanjani.....ni ngumu sanaAfrican stupidity knows no boundaries kaka.
Wewe fikiria tuu ligi za wenzetu zina timu inshirini wameliza toka may sie wenye timu chache bado tunaendelea na kila leo tunalia vilabu vyetu vina ukata.
Ila tambua kocha hakuwahi kuwa Julio alishaondokaMwadui iliwahi shuka daraja na kupanda tena kabla ya kushuka msimu uliopita
Ligi inasimama kupisha mashindano ya kisiasa ya Mapinduzi Cup?? Ligi inasimama kupisha timu fulani ishiriki michuano ya kimataifa??😂😂Huo ni mfumo wa uendeshaji wa ligi na nikutokana na miundombinu mibovu kama nchi tulinayo,let's say EPL wanacheza kucheza Wednesday na Saturday kwasababu ya miundombinu bora ya usafiri waliyonayo na inarahisisha timu kufika kwa wakati bila uchovu kupitia hili ligi yao inaweza kuisha kwa haraka ila Tanzania hii Coastal hawezi kucheza alhamis halafu jumapili awepo tena uwanjani.....ni ngumu sana
Ila serikali haiwezi kuingilia mamlaka ya shirikisho la mpira nchini na ikifanyika hivyo yatatupata yaliompata jirani yetu
Hajapitiwa. Anafanya makusudi. Hatavmechi waliyopigwa na Polisi alihojiwa alisema hayohayo wakati anajua Yanga Bingwa.Julio amepitiwa kwenye hili, anaonyesha ni namna gani haikubali Yanga hata kwa kutoa credit pale wanapostahili
Anajizima data kwa makusudiHajapitiwa. Anafanya makusudi. Hatavmechi waliyopigwa na Polisi alihojiwa alisema hayohayo wakati anajua Yanga Bingwa.
Wakati anaondoka Mwadui ilikuwa ya mwisho inapumulia mashineIla tambua kocha hakuwahi kuwa Julio alishaondoka
Ligi inasimama kwasababu kupisha matukio mengine ya kimpira na yaliyopo kwenye kalenda ya soka na kwa utaratibu maaalamu ,halafu inaendelea tena.......hizo ndio sababu za ligi kusimama kwa mudaLigi inasimama kupisha mashindano ya kisiasa ya Mapinduzi Cup?? Ligi inasimama kupisha timu fulani ishiriki michuano ya kimataifa??😂😂
Hapana haikuww ya mwisho, cheki rekodi zakoWakati anaondoka Mwadui ilikuwa ya mwisho inapumulia mashine
Wewe wacha zako mbona ukitaka kuhost world cup kuna sehemu lazima serikali isign ilikuhalalisha bid yako? Fedha wanazotoa fifa to memeber nations sio sufficient kuendesha soccer. Kuna sehemu lazima serikali iweke hela.Mkuu nenda kaweke data zako vzr.......shirikisho la mpira linakuwa funded by FIFA na sio Government...... Ile ni free organization kule FIFA kuna watu wanaakili kuliko ww na ndio maana wakapigwa Ban
Kesi za Mpira huamuliwa na mahakama za kimpira,That's it
Rudi kwenye source yako upya.....Nick Mwenda alipokea pesa kutoka FIFA ila akazitumia kwenye mambo yake binafsiWewe wacha zako mbona ukitaka kuhost world cup kuna sehemu lazima serikali isign ilikuhalalisha bid yako? Fedha wanazotoa fifa to memeber nations sio sufficient kuendesha soccer. Kuna sehemu lazima serikali iweke hela.
Ni kweli wao fifa wameweka kuwa serikali haitakiwi kuingilia haya mambo ya mpira lakini that dont mean its right. Kilichotokea kenya ni kwamba serikali ilitoa hela kwenda fkf sasa inaonekana nick mwenda alikwapua hizo hela sasa watu wanataka maelezo ya hela yao is that wrong? Mambo mengine ata kama sawa yamewekwa but sio sahihi.
Hapana sio kweli. Serikali inakuwa na mchango wake. Wee hela ya fifa haiwezi kukufanya weww ukahist kombe la dunia. Kujenga miundombino sii hela ya serikali. Wee kwa mfano hii afcon tunayotaka kubidi unadhani viwanja na hizo training facilities ndio zitagolewa na hao fifa?Rudi kwenye source yako upya.....Nick Mwenda alipokea pesa kutoka FIFA ila akazitumia kwenye mambo yake binafsi
Wananchi wakaja juu kutaka kushinikiza maelezo ya hizo pesa zilipokwenda na serikali kutaka kuwasaidia wananchi wakaingia kwenye mtego
Shirikisho la mpira lina source zake za mapato la funds kutoka kwenye mamlaka za juu yake za soka na sio serikali
Rudi kwenye vitabu vyako
Mashindano yote yaliyochini ya FIFA na washirika wake wa chini wanapata fund kutoka kwao ili waweze kurun cost za kuhost match na kusafiri kwa timu ya Taifa pamoja na kulipa mishahara ya waajiriwa Wa shirikisho......hakuna bajeti ya serikali eti hii pesa inapelekwa TFF