Julio: Bingwa wa ligi kuu ya NBC bado hajapatikana

Julio: Bingwa wa ligi kuu ya NBC bado hajapatikana

Hapana sio kweli. Serikali inakuwa na mchango wake. Wee hela ya fifa haiwezi kukufanya weww ukahist kombe la dunia. Kujenga miundombino sii hela ya serikali. Wee kwa mfano hii afcon tunayotaka kubidi unadhani viwanja na hizo training facilities ndio zitagolewa na hao fifa?

Tukija kwenye champions legu huku africa one of the differences ikija kwenye vilabu ni kwamba vilabu vya north africa wizara ya michezo ndio zina facilitate mambo ya malazi na ata kusafiri maana wanawakilisha nchi.

Yaani unataka kuniambia leo hii wizara ya michezo tz waseme kuwa timu zote zinazocheza caf champions league wizara itagharamikia usafiri na hotels alafu vilabu vikule hiyi hela wizara itakuwa haitakiwi kuhoji kisa tuu fifa wannasema kuwa no government interference
Unapozungumzia world cup,Afcon,UEFA finals hapo maana yake mashindano yakifanyika kwako,serikali itaingiza mapato pia kupitia watu watakaoingia nchini kwako,hapo ndio serikali huwa inashirikishwa kujenga miundombinu ili kufanikisha zoezi hilo kwa faida yao binafsi

Sometimes serikali inaweza kutop up kwa timu ya Taifaa kiasi chao cha pesa ila hawana haki ya kuiwaingilia katika matumizi yao isipokuwa Fifa wenyewe ila hakuna bajeti kutoka huko wizarani wala bungeni kwa ajili ya shirikisho la mpira
 
Ok. Sawa.
 
Kama kweli limesema hayo basi Ile story wanayosemaga linara Duria marinda itakuwa kweli
 
Back
Top Bottom