Julio: Makocha Wazawa tuliipeleka Timu AFCON tukatolewa kiuhuni, lilikuwa jambo baya sana lile

Julio: Makocha Wazawa tuliipeleka Timu AFCON tukatolewa kiuhuni, lilikuwa jambo baya sana lile

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Kocha wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihwelo 'Julio': “Sometimes napenda Kujilipua, singoji mpaka nife mje mnisifie, kazi aliyofanya Hemed Morocco, Juma Mgunda na mimi kuipeleka timu AFCON afu tukatolewa kiuhuni ni jambo baya sana.
 
Mwenzie ibenge kalamba shavu,
Anaenda kuwa kocha wa mali.
Yeye ni kulalamika tu.....hata vital'o tu haimwani, ipo jirani na mashujaa hapo
 
Back
Top Bottom