Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Mombali nanga 😃Wizi,kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu etc kasongo yeyeee uyu kaendaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mombali nanga 😃Wizi,kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu etc kasongo yeyeee uyu kaendaa
Kama mavazi anayo pia na vitambulisho 🤔 hii inatia ukakasi sanaWamchunguze vizuri kwasababu huwezi kuharibu kazi kwasababu ya wizi huko alikofukuzwa awali ni aibu tupu nursing iharibike kwasababu ya wizi wa simu??? Haiingii akilini
SanaKama mavazi anayo pia na vitambulisho 🤔 hii inatia ukakasi sana
Aisee tungempatia haki yake ya kikatiba 😃nilikuwepo hapo usiku wa jana...saa 6 usiku jamaa katiwa nguvuni naamka naskia ndugu wa wagonjwa pale bandani wanapolalaga waachiwe walau kwa dkk 5 hivi wamtie adabu ndipo walinzi walipoenda kumuhifadhi chumba chao pale getini
Ccm ni wapumbavu sana
Ccm ni wapumbava sana ndiyo wamesababisha hata wewe usijue wanausika vipi ...hivyo hata wewe kutokujua kuhusika kwa ccm ni matokeo ya upumbavu wa ccm piaSiwapendi CCm ila kwenye hili hawahusiki, Watazingua mno kama jamaa hatalipa hizo simu za wagonjwa na atafikishwa mahakamani, Hapo CCm itakuwa inalea hao watu.
Wazee wa kamati kuu wamezuia michongo 😃Bro kijijini kwake hawataki afanikiwe kabisa 😂😂😂
Na ni muuguzi sema tu ametumia mwanya huo kupiga watu 😃Anaaga anaenda kazini na anailea familia yake Kwa kazi hiyo hiyo
Politics!!Aidha uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili inapenda kuihakikishia jamii kuwa inayo mifumo imara ya kiusalama ya kuweza kubaini watu wote wanaoingia na kutoka hospitalini na ndio maana imeweza kumfuatilia mtuhumiwa huyu na kumkamata.
Wakristo ni wezi sanaHospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata Bw. Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa Muhimbili Mloganzila kwa cheo cha Afisa Muuguzi.
View attachment 3187027
Baada ya mahojiano Bw. Julius amekiri kuiba simu tatu ambapo mbili aliziuza kwa mkazi wa Kibamba na moja ameiuza kwa mtu anyeishi nje ya mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Bw. Julius baada ya kumaliza mafunzo kwa vitendo ya uuguzi (nursing internship) amefanya kazi katika hospitali kadhaa za mkoa wa Dar es Salaam ambapo alifukuzwa kutokana na vitendo vya kukiuka maadili ikiwemo wizi.
Mtuhumiwa amefikishwa Kituo cha Polisi Gogoni kilichopo Kibamba kwa taratibu za kisheria.
Aidha uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili inapenda kuihakikishia jamii kuwa inayo mifumo imara ya kiusalama ya kuweza kubaini watu wote wanaoingia na kutoka hospitalini na ndio maana imeweza kumfuatilia mtuhumiwa huyu na kumkamata.
Bila Parole 😃Jamaa apelekwe jela.moja kwa moja kufungwa bila kupelekwa mahakamani
Wakristo tenaWakristo ni wezi sana
Hapana mkuu, ni Muuguzi kabisaJamaa apelekwe jela.moja kwa moja kufungwa bila kupelekwa mahakamani
Wazi mkuuHapana mkuu, ni Muuguzi kabisa
Wametangazia umma 😃Politics!!
Aliwezaje kufanya kazi humo msimjue muda wote huo? Bora mngenyamaza kuficha aibu
Politics!!
Aliwezaje kufanya kazi humo msimjue muda wote huo? Bora mngenyamaza kuficha aibu
Hili jizi utakuta ni lichademaUmasikini ni mikosi