PreGE2025 Julius Mwitta: G-55 iliundwa na Katibu Mkuu wa Chadema, John John Mnyika

PreGE2025 Julius Mwitta: G-55 iliundwa na Katibu Mkuu wa Chadema, John John Mnyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Naam.

Julius Mwitta anapasua mbarika, kumbe mwenye G-55 yupo na hamsemi. Haha.

===

Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema; "G-55 ilizaliwa kutokana na kikao kilichoitishwa na Katibu wa Chama. Wakati huo mimi bado nilikuwa Katibu wa Sekretarieti. Tulikaa kwenye Sekretarieti na tukasema chama kinakwenda Kanda ya Nyasa kufanya mikutano ya hadhara kuelimisha watu kuhusu 'No Reforms, No Election'. Sasa watu walitia nia ya kugombea kwa sababu Katibu Mkuu John Mnyika alitoa tangazo la kuwataka wanachama wenye nia ya kugombea kwenye Uvchaguzi wa 2025 watie nia," amesema.


 
Kama na yeye anahusika tutamshughulikia kwa wakati wake... Saizi tunadili na waliotoa vichwa 😂
 
Naam.

Julius Mwitta anapasua mbarika, kumbe mwenye G-55 yupo na hamsemi. Haha.

View attachment 3296953
Nani aliwahi kujibiwa Waraka? Paulo mwenyewe aliandika kwa Wagalatia mpaka Leo hajawahi kujibiwa 😂😂😂😂, waulizeni Wakorintho au Waebrania 😂😂
1744120046674.jpg
 
Nakwambia kila mtu ni msaliti Chadema isipokuwa Lissu tu. Na hiyo ndio hilka namba moja ya Dikteta kuamini wote ni wasaliti isipokuwa yeye tu!
Usaliti maana yake nini ?

Lissu amwchangia damu hapo chadema .

So anabidi kulindwa
 
Nakwambia kila mtu ni msaliti Chadema isipokuwa Lissu tu. Na hiyo ndio hilka namba moja ya Dikteta kuamini wote ni wasaliti isipokuwa yeye tu!
Nani kasema kuwa watu wote CHADEMA ni wasaliti isipokuwa Lissu?

Acha kuzua mambo.
 
Back
Top Bottom