Kitchener
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 13,833
- 27,753
pamoja na kwamba huwa simwamini mnyika mno kwa sababu alishatuhumiwa sana kuwa ni tiss, aliongelewa sana kipindi cha covid 19 na mara kadhaa. mchunguzeni though siamini kama kweli g55 wangekuwa pamoja na mnyika wasingemchoma, wangemwacha iende underground. iyo kumchoma inadhihirisha kwamba hawapo pamoja. ila ukweli ni kwamba lisu ana kazi nzito sana, kwanza kujua mamluki na kuunda watu wake wapya ambao nao lazima tu ccm itawanunua kwa sababu ya pesa.