No reforms No Election PERIODSasa kama yeye ndio admini wa group?
Kwa kweli tumemwagika hasa wakunyumba, kumpokea Jiwe walilokataa waashi, limekua kuu la pembeni.Songea Imezizima maelfu wamiminika barabarani
MandelaLissu ananyooosha rula
Hata kubalehe alikuwa bado?Naam.
Julius Mwitta anapasua mbarika, kumbe mwenye G-55 yupo na hamsemi. Haha.
View attachment 3296913
Nani aliwahi kujibiwa Waraka? Paulo mwenyewe aliandika kwa Wagalatia mpaka Leo hajawahi kujibiwa ππππ, waulizeni Wakorintho au Waebrania ππNaam.
Julius Mwitta anapasua mbarika, kumbe mwenye G-55 yupo na hamsemi. Haha.
View attachment 3296953
Sasa kwa hii chadema atajibu nani? Lemma? Ule waraka ni jiwe gumu, bunker busterNani aliwahi kujibiwa Waraka? Paulo mwenyewe aliandika kwa Wagalatia mpaka Leo hajawahi kujibiwa ππππ, waulizeni Wakorintho au Waebrania ππView attachment 3296985
Nakwambia kila mtu ni msaliti Chadema isipokuwa Lissu tu. Na hiyo ndio hilka namba moja ya Dikteta kuamini wote ni wasaliti isipokuwa yeye tu!Lissu usicheke na wowote
Usaliti maana yake nini ?Nakwambia kila mtu ni msaliti Chadema isipokuwa Lissu tu. Na hiyo ndio hilka namba moja ya Dikteta kuamini wote ni wasaliti isipokuwa yeye tu!
Nani aliwahi kujibiwa Waraka? Paulo mwenyewe aliandika kwa Wagalatia mpaka Leo hajawahi kujibiwa ππππ, waulizeni Wakorintho au Waebrania ππππππ
Nani kasema kuwa watu wote CHADEMA ni wasaliti isipokuwa Lissu?Nakwambia kila mtu ni msaliti Chadema isipokuwa Lissu tu. Na hiyo ndio hilka namba moja ya Dikteta kuamini wote ni wasaliti isipokuwa yeye tu!
Waambieni wawaongezee posho 7000 per day haitoshi.Sasa kama yeye ndio admini wa group?