Wapiga vigoma wa Lumumba mpo bize kucheza kigodoro ya G55 feki!Anasema ukweli
Mlindeni ila asiingie kwenye anga asizotakiwa kwa maana HAKUNA wa kumlinda zaidi ya ninyi wapiga kelele mitandaoni tu!Usaliti maana yake nini ?
Lissu amwchangia damu hapo chadema .
So anabidi kulindwa
Bado wewe kuwa msaliti, labda ulambe masaburi yake! Ahahahahaha!!!Nani kasema kuwa watu wote CHADEMA ni wasaliti isipokuwa Lissu?
Acha kuzua mambo.