Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

Ina maana hata huyu nanilii na yeye pia ni nanii?.
P
 
Leo tarehe 14 October ni siku ya Nyerere Day, tumuenzi kwa kujikumbushe tuliwahi kusema nini, kumhusu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Happy Nyerere Day.
Paskali
 
Mkuu Roving Journalist , asante kwa hii.
Leo tarehe 14 October ni siku ya Nyerere Day, tumuenzi kwa kujikumbushe tuliwahi kusema nini, kumhusu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Happy Nyerere Day.
Nyerere alikuwa hakopeshi,
Malaya, wajinga, washenzi, wapumbavu, wendawazimni ni maneno ya kawaida

Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…