Jullie Dolls

Ndio lile lenye plate # iliyoandikwa kauthar?kuna siku nimepishana nalo migo mara kibao...

Hii apo moja kat ya gar zake, na anapenda kuliosha pale texas car wash karibia na mikochen, akija nakwambia na wapambe wake anachafua meza kwa offa za bia na nyama, lloh mwanaume ana pesa yule balaa
 
Attachments

  • 1415711696655.jpg
    53.4 KB · Views: 704

hahahaaaaa
rummy si naskia ana kimeo kingine sasa hivi ngoja nimsachi jina ntamueka hapa
 
Mmeingia kwa mange jamani?nimecheka balaa anakuja bongo eti atakua anatembea na bodyguard ukisogea tu risasi ya kalio kama khanga moko

Hahahahah yani ni hataree
 
Kaka mmoja handsome na ana pesa chafu za unga ,,,anagonga haangalii suraa na gari juu utapata na kifua kikuu utakipata pia

Basi mi nilijua Rummy yule Nduguye Diamond ..heheheh maana ni maarufu kwa Blog ya Sintah , bila kutajwa huyo hapakuchi, Dinazarde mbona kila nikifungue sinta inanigomea kwema ??
 
Mmeingia kwa mange jamani?nimecheka balaa anakuja bongo eti atakua anatembea na bodyguard ukisogea tu risasi ya kalio kama khanga moko

Si anajijua ana maadui kibao ,,lazima awazeeee ukiwa na maadui unakua hujiaminiii ndio yeye
 
hahahaaaaa
rummy si naskia ana kimeo kingine sasa hivi ngoja nimsachi jina ntamueka hapa

Weka basi picha za wale wakewenza wa july tuwaone nasikia hua wanawekeana mafumbo insta
 
I cant wait magauni yangu tehetehetehe !

Heheee tule tugauni tubaya twaninii alitokua anatuvaa !!!!au umelipia yale mazuriiii
Mumchunge lazima tindikali itamuhusuuuu watu wabayaa mjinii wana visasiiiii
 
Heheee tule tugauni tubaya twaninii alitokua anatuvaa !!!!au umelipia yale mazuriiii
Mumchunge lazima tindikali itamuhusuuuu watu wabayaa mjinii wana visasiiiii

Mwenzake betina alipokea kipigo bongo watu hawalazi damu
 
Mwenzake betina alipokea kipigo bongo watu hawalazi damu

Ni shidaaa nahisi hua akija lazima aishi kwa kujificha fichaaa, yeye kila mtu kakosana nae unafikiria watu siku hiz wabayaaa
 
Mmh!! Na ule ukimwi sijui itakuwaje, sie wambea yetu macho tu, mie nshaanza kuhesabu, mimba ina miezi mitatu na wiki hii ndo miez minne inatimia, ikifika ya tisa tu ntakaa karibu nijue kajifungua wap na mtoto gan

ha ha ha ha warumi, mbavu zangu mie....
unavohesabu hiyo miezi utadhani ulikuwepo wakati anapewa hiyo mimba ha ha ha
 
Basi mi nilijua Rummy yule Nduguye Diamond ..heheheh maana ni maarufu kwa Blog ya Sintah , bila kutajwa huyo hapakuchi, Dinazarde mbona kila nikifungue sinta inanigomea kwema ??

Yuko kwenye marekebisho ya blog.. nae sijui ataweka madole mekundu kama muke ya Muzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…