Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio vizur binamu, mbona mzur tu jaman??
mtoto wa didas masaburi pesa ipo ila ndo kimeo tuu
Rummy ni nani¿¿
picha please
Kaka mmoja handsome na ana pesa chafu za unga ,,,anagonga haangalii suraa na gari juu utapata na kifua kikuu utakipata pia
Mbona kuna siku ulisema hivyohivyo na wewe jamani?nahisi umesahau...
Pamoja na kifua kikuu lakini totos bado zinajipeleka.....mmmmmh
Nami nimemshangaa leo anamsifiaaa
Mhh sijui mwanae atapewa garii kama yule wa neyoncee!!hiihiii mjini mipango
Bora na wewe unakumbuka....eti ooh mbaya kama nini,mimacho mikubwa,mweusi mfupi hizo camera 360 tu...
Leo kawa malkia!!!
Huyo Jullie nasikia anaringa kama vile hanti!!kanunuiwa na gari nasikia...hata iyo mimba alitambika mpaka mizimu ya babu zake,nasikia ni special mahsus kula sahani moja na wake wenzake ambao wote wamezalishwa na rummy show muuza sembe...
Anaringa sana, sijui ndo hizo pesa maana tukisema uzur hapan kwa kwel
m mwenyewe nashangaa angekuwa wa kishua angekomaa na hzo pesa za rummy jones jaman mana yule mwanaume kawazalisha hatare yan wanajua kbsah wamepangwa ila wapo tu..kha kweli pesa mwanaharamu
Binamu unatuchanganyia madesa, unamchanganya rommy jones wa domo na rummy andunje kama ana matege ivi, hao ni watu wawil tofaut, huyo rommy angekuwa na izo pesa tungekoma binamu
Anaringa sana, sijui ndo hizo pesa maana tukisema uzur hapan kwa kwel