Juma Aweso: Wanaosema No Reform No Election Waelewe kwamba Mkubwa Hatishiwi Nyau.

Juma Aweso: Wanaosema No Reform No Election Waelewe kwamba Mkubwa Hatishiwi Nyau.

Kama hakuna mtanzania anakula katiba mpya . Tuseme ya zamani ina liwa?
Hao chadema siyo watanzania?
Haya ni maneno ya mtu aliyekwenda shule kweli au mwizi wa mitihani anayekata mauno hapo lumumba? Kama unafikiri katiba haina maana huyo samia aliingiaje ikulu?
Anakuambia "katiba ni kijitabu tu" huku akisahau kama watu wasingeiheshimu, haya yeye asingekuwa hapo Ikulu. Inawezekana tatizo ni shule.
 
Hakuna anaeiba kura.Utekaji ni uhalifi inafanyika Dunia nzima.

Hakuna Mtanzania anaweza kuligawa 🇹🇿 labda Chadomo na ndio maana mnapuuzwa.
Sawa ni uhalifu, ila unapotekelezwa kwa misingi ya kisiasa unakuwa zaidi ya uhalifu
 
Eti hao polisi wapo kwenye "mazoezi ya vita". Vita na waTanzania?
Viongozi wetu wamelewa madaraka ndio maana wanatumia nguvu kubwa kwenye mambo yanayohitaji kutumia akili.
 
Mwache aendelee kupiga hela za Wakandarasi wa maji kupitia vi ten percent anavyojiwekea. Asijione hatumjui mambo yake anayoyafanya hapo Wizara ya Maji.

Tunamjua yeye ni mnufaika wahuu mfumo dhalimu hivyo hawezi ungainly mkono NO Reform No Election
Na wanazipiga kweli kwa kushirikiana na baadhi ya wakurugenzi wa Mamlaka za maji hasa wa miji mikubwa
 
Anakuambia "katiba ni kijitabu tu" huku akisahau kama watu wasingeiheshimu, haya yeye asingekuwa hapo Ikulu. Inawezekana tatizo ni shule.
Kweli shule ni tatizo. Kama katiba ni kijitabu saaa kwakuwa kimeandikwa binaadam wakiwepo na hakina maana kwa duru za wana ccm! Je vitabu vya DINI Tuviiteje? Mbona kila siku viongozi wala rushwa hapo lumumba wanaapa kuilinda katiba/ kajikitabu kwa kutumia vitabu vya dini?
Shule inamsubua huyu
 
NO REFORM NO ELECTION. Na nguvu kubwa wala haitatoka Chadema. Huko huko ndani ya CCM. Kutakuwa na nguvu "direct na indirect " Ni suala la muda tu.
Wapo wengi tu huko, na ingerahisisha kazi kama wangepata ujasiri huo. Tatizo kubwa wengi wa hawa ni 'opportunists' tu, watu wasiokuwa na 'conviction' juu ya jambo lolote, kama akina Kabuti Kalamaganda na wengi wengineo ndani ya chama hicho.
 
Hao sasa ndio wanaoendesha zoezi hilo la No Reform No Election indirect.
 
Hao sasa ndio wanaoendesha zoezi hilo la No Reform No Election indirect.
Watakula wapi bila ya CCM mkuu 'Halaiser'!

Mbona akina Mtungi wangefanya hayo kazi ya kubadili uongozi ingekuwa rahisi sana ndani ya nchi hii?

Kumbuka wote walivyo nyweya walipokuwa 'ambushed' na ajenda ya Samia kupitishwa kinyemera wakati wa Mkutano Mkuu!
Ulisikia hata tetesi za nani anaguna?
Hawa hata kwenye "INDIRECT" hawapo kabisaWakurugenzi na hata viongozi huko kwenye mashina ya chama wakaamua kuwa b"INDIRECT"!

Wewe fikiria kama ile Tume inayoitwa "Tume Huru ya Uchaguzi" wangetumia hiyo "INDIRECT"; wakati wa zoezi hilo la uchaguzi wakawa "INDIRECT" kikwelikweli...!
Hao Polisi, nao wakawa "INDIRECT"; Wakurugenzi na viongozi kwenye mashina ya chama wakaamua kuwa "INDIRECT", hali ingekuwaje ndani ya CCM?
 
NYUZI ZA KICHOCHEZI HAZIFUTWI.

KUNA JAMAA KAWEKA THREAD YAKE KUJADILI KAULI YA WAZIRI MKUU YA GRADUATE WAENDE VETA

UZI UMEFUTWA
 
Back
Top Bottom