Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Watakula wapi bila ya CCM mkuu 'Halaiser'!
Mbona akina Mtungi wangefanya hayo kazi ya kubadili uongozi ingekuwa rahisi sana ndani ya nchi hii?
Kumbuka wote walivyo nyweya walipokuwa 'ambushed' na ajenda ya Samia kupitishwa kinyemera wakati wa Mkutano Mkuu!
Ulisikia hata tetesi za nani anaguna?
Hawa hata kwenye "INDIRECT" hawapo kabisaWakurugenzi na hata viongozi huko kwenye mashina ya chama wakaamua kuwa b"INDIRECT"!
Wewe fikiria kama ile Tume inayoitwa "Tume Huru ya Uchaguzi" wangetumia hiyo "INDIRECT"; wakati wa zoezi hilo la uchaguzi wakawa "INDIRECT" kikwelikweli...!
Hao Polisi, nao wakawa "INDIRECT"; Wakurugenzi na viongozi kwenye mashina ya chama wakaamua kuwa "INDIRECT", hali ingekuwaje ndani ya CCM?
Hapo alipoamua kujiteua ndiko tatizo lilikoanzia. Kwasababu ya kofia mbili alizonazo. Ndiyo maana hakuna aliyekohoa. Lkn ukweli ni kwamba hakubaliki kwa walio wengi. Ni suala la muda tu.Watakula wapi bila ya CCM mkuu 'Halaiser'!
Mbona akina Mtungi wangefanya hayo kazi ya kubadili uongozi ingekuwa rahisi sana ndani ya nchi hii?
Kumbuka wote walivyo nyweya walipokuwa 'ambushed' na ajenda ya Samia kupitishwa kinyemera wakati wa Mkutano Mkuu!
Ulisikia hata tetesi za nani anaguna?
Hawa hata kwenye "INDIRECT" hawapo kabisaWakurugenzi na hata viongozi huko kwenye mashina ya chama wakaamua kuwa b"INDIRECT"!
Wewe fikiria kama ile Tume inayoitwa "Tume Huru ya Uchaguzi" wangetumia hiyo "INDIRECT"; wakati wa zoezi hilo la uchaguzi wakawa "INDIRECT" kikwelikweli...!
Hao Polisi, nao wakawa "INDIRECT"; Wakurugenzi na viongozi kwenye mashina ya chama wakaamua kuwa "INDIRECT", hali ingekuwaje ndani ya CCM?
Kuna tetesi pia kwamba endapo wapinzani wake ndani ya chama watafanikiwa kumhujumu, basi atakimbilia kwenye suala la Katiba Mpya. Ataungana na Upande wa pili kwamba Katiba Mpya ni muhimu. Hapo italazimika hoja kupelekwa Mjengoni kuomba Uchaguzi usogezwe mbele ili kuruhusu mchakato wa Katiba Mpya uanze.
Endapo zoezi hilo litaanza basi kuna uwezekano wa kuchukua zaidi ya miaka 3-4 kukamilisha upatikanaji wake (Katiba). Na kama utakumbuka majuzi alisema atakwenda kukutana na Kinamama tena atakapokuwa anamaliza muda wake 2030.