Juma Aweso: Wanaosema No Reform No Election Waelewe kwamba Mkubwa Hatishiwi Nyau.


Hapo alipoamua kujiteua ndiko tatizo lilikoanzia. Kwasababu ya kofia mbili alizonazo. Ndiyo maana hakuna aliyekohoa. Lkn ukweli ni kwamba hakubaliki kwa walio wengi. Ni suala la muda tu.

Kuna tetesi pia kwamba endapo wapinzani wake ndani ya chama watafanikiwa kumhujumu, basi atakimbilia kwenye suala la Katiba Mpya. Ataungana na Upande wa pili kwamba Katiba Mpya ni muhimu. Hapo italazimika hoja kupelekwa Mjengoni kuomba Uchaguzi usogezwe mbele ili kuruhusu mchakato wa Katiba Mpya uanze.

Endapo zoezi hilo litaanza basi kuna uwezekano wa kuchukua zaidi ya miaka 3-4 kukamilisha upatikanaji wake (Katiba). Na kama utakumbuka majuzi alisema atakwenda kukutana na Kinamama tena atakapokuwa anamaliza muda wake 2030.
 
Maji Dar yanapatikana kwa shida Dawasco wanatubambikia bills yeye anakata uno tuu
 
Endapo zoezi hilo litaanza basi kuna uwezekano wa kuchukua zaidi ya miaka 3-4 kukamilisha upatikanaji wake (Katiba). Na kama utakumbuka majuzi alisema atakwenda kukutana na Kinamama tena atakapokuwa anamaliza muda wake 2030.
Hilo la kukutana na akina mama 2030, aombe sana usiku na mchana ili NO REFORM NO ELECTION ikwame; vinginevyo hiyo ni ndoto tu za mchana kweupe kabisa.
 
Hakuna anaeiba kura.Utekaji ni uhalifi inafanyika Dunia nzima.

Hakuna Mtanzania anaweza kuligawa 🇹🇿 labda Chadomo na ndio maana mnapuuzwa.
1. Kwanini nyie CCM uchwara mnafikiri aliye kinyume na CCM basi ni CHADEMA?
2. Ni lini CHADEMA walisema tunataka kugawa taifa ,zaidi ya kutaka kuboresha muungano
3. Kama hamuibi kura kwanini hamtaki mabadiliko kwenye tume huru?

Unachopaswa kufahamu, binafsi sina imani na CHADEMA wala CCM wala chama chochote kile, bali naamini kwenye hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…