Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Kwa tanzania IQ haijawahi kuwa kigezo cha kumpa mtu nafasi, ila mdomo ndio unaangaliwa zaidiNimesikiliza kwa makini mahojiano kati ya watangazaji wa Crown Fm na mgeni wao mheshimiwa genius professor Mangungu ambaye ni boss wa Simba Sports Club.
Nilichogundua ni kwamba Mheshimiwa genius professor Mangungu ana IQ kubwa mno na huyu Juma Ayo hana uwezo kabisa wa kuhoji kichwa kama Mangungu.
Hongera sana mzee wetu Mangungu shikilia hapohapo.
Hii ni tabia ya watu wengi ukilikataa wazo lake vita inaanzaNadhani kusomea journalism pekee haitoshi kuwa fiti, wangejiendeleza kuepukana na hizi aibu ndogo ndogo. Maana huwezi mlazimisha mtu akubaliane na mawazo yako au kile unachokiamini wewe hata kama kiko nje ya uhalisia wenyewe.
Nilikuwa napenda interview katika kipindi cha dakika 45 za moto,H
Hii ni tabia ya watu wengi ukilikataa wazo lake vita inaanza
Hata mimi hapo nimeona aibu mno. Ilibakia kidogo Mzee Mangungu aseme uliza swali jingine.Mangungu"Nafikiri nishajibu hilo swali labda hunisikilizi"😀😀,juma kataitiwa aibu nmeona mimi
Yalikuwa ni maoni yake.Nadhani kusomea journalism pekee haitoshi kuwa fiti, wangejiendeleza kuepukana na hizi aibu ndogo ndogo. Maana huwezi mlazimisha mtu akubaliane na mawazo yako au kile unachokiamini wewe hata kama kiko nje ya uhalisia wenyewe.
Mwisho wa siku, soka la kisasa ni fweza. Hata kama unaongea vizuri na watu wanakuelewa kama huna fweza hizo pwenti zako kwenye vyombo vya habari ni kelele tu!Nimesikiliza kwa makini mahojiano kati ya watangazaji wa Crown Fm na mgeni wao mheshimiwa genius professor Mangungu ambaye ni boss wa Simba Sports Club.
Nilichogundua ni kwamba Mheshimiwa genius professor Mangungu ana IQ kubwa mno na huyu Juma Ayo hana uwezo kabisa wa kuhoji kichwa kama Mangungu.
Hongera sana mzee wetu Mangungu shikilia hapohapo.
Awe rais wa maisha pale.Nampa hongera kubwa genius professor mangungu kiongozi mwenye maono uko umbumbumbuni