Juma Ayo: Kwa jezi hizi mpya za Yanga Sheria Ngowi akamatwe

Faida gani wakati kwenye taarifa wameficha madeni wanayodaiwa na Luc Eymael pamoja na wale Wacongo wanaoendelea kushinikiza kuvunjiwa mikataba?
Basi utuwekee hiyo taarifa yako inayoonesha hayo madeni. Na kama Mhindi anaona kuendesha klabu ni hasara, abwage manyanga ili timu apewe Mzee Kilomoni.
 
Tatizo ni watanzania kupenda shortci.

Ngowi ni cloth designer anajua nini anafanya.

Wengine kisa mtu anajua photoshop anapewa tender.
Sio kosa kujifunza.
 
Kama kwa jezi hizi unasema anajua, basi watu tunatofautiana sana katika perception
1. Point yangu ni kwamba analeta taste tofauti kwenye tasnia ya jezi (hapa tuwe wakweli), design yoyote ile lazima iwe na hadithi nyuma yake ili kuipush iweze kukubalika/ kuuzika . (rejea jezi za wenzetu ulaya). Kibongo bongo mpaka sasa ameonesha ana kitu.


ni kweli hatuwezi kuwa sawa kwenye mitazamo hilo sipingani nalo.
 
Jaribu kuwahoji masahabiki 10 wa Yanga randomly kuhusu ubunifu wa jezi, halafu uje na majibu uone wangapi wana habari ya story nyuma ya ubunifu. Watu wako interested na mpangilio wa rangi, wala si story hizo, na ukikosea mpangilio wananyong'onyea sana na kuonekana wanyonge. Mfano ni wa zile jezi za majumbajumba maarufu kama sensa ya makazi
 
Mbaya siko kiubishani na ni ngumu kupata takwimu kwa urahisi kuweza kusupport chochote tutakacho bishania.

Hiyo sensa ya makazi ni a story gone wrong , supporting your statement on different perspectives za watu kwani dhumuni halikiwa baya bali wapokeaji.

All in all siyo mbaya kusifia wanapofanya vizuri.
 
Vimba mwananchi!!!!!!!!!!!!!!!


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…