Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Anayepingana nao ni Luc Eymael maana amekazia hukumu juzi tu baada ya kusikia kuna faida halafu yeye anadai hela 😁😁😁Mkuu, unapingana na taarifa rasmi ya club?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayepingana nao ni Luc Eymael maana amekazia hukumu juzi tu baada ya kusikia kuna faida halafu yeye anadai hela 😁😁😁Mkuu, unapingana na taarifa rasmi ya club?
Hizo ni Polimilai sisi tunaangalia ripoti ya mapato ya mwaka mliyo kusanya kwenye jezi.Upo nyuma ya wakati mkuuView attachment 2675177
Basi utuwekee hiyo taarifa yako inayoonesha hayo madeni. Na kama Mhindi anaona kuendesha klabu ni hasara, abwage manyanga ili timu apewe Mzee Kilomoni.Faida gani wakati kwenye taarifa wameficha madeni wanayodaiwa na Luc Eymael pamoja na wale Wacongo wanaoendelea kushinikiza kuvunjiwa mikataba?
"Nimeziona jezi mpya za Yanga, huyu Ngowi akamatwe, zile jezi ni balaa tupu. Yanga mmetisha sana." Juma Ayo
Je, kwanini timu zingine zisijifunze kwa Yanga since maendeleo hayana Chama?
Kama kwa jezi hizi unasema anajua, basi watu tunatofautiana sana katika perceptionNgowi ni cloth designer anajua nini anafanya.
1. Point yangu ni kwamba analeta taste tofauti kwenye tasnia ya jezi (hapa tuwe wakweli), design yoyote ile lazima iwe na hadithi nyuma yake ili kuipush iweze kukubalika/ kuuzika . (rejea jezi za wenzetu ulaya). Kibongo bongo mpaka sasa ameonesha ana kitu.Kama kwa jezi hizi unasema anajua, basi watu tunatofautiana sana katika perception
Jaribu kuwahoji masahabiki 10 wa Yanga randomly kuhusu ubunifu wa jezi, halafu uje na majibu uone wangapi wana habari ya story nyuma ya ubunifu. Watu wako interested na mpangilio wa rangi, wala si story hizo, na ukikosea mpangilio wananyong'onyea sana na kuonekana wanyonge. Mfano ni wa zile jezi za majumbajumba maarufu kama sensa ya makazi1. Point yangu ni kwamba analeta taste tofauti kwenye tasnia ya jezi (hapa tuwe wakweli), design yoyote ile lazima iwe na hadithi nyuma yake ili kuipush iweze kukubalika/ kuuzika . (rejea jezi za wenzetu ulaya). Kibongo bongo mpaka sasa ameonesha ana kitu.
Mbaya siko kiubishani na ni ngumu kupata takwimu kwa urahisi kuweza kusupport chochote tutakacho bishania.Jaribu kuwahoji masahabiki 10 wa Yanga randomly kuhusu ubunifu wa jezi, halafu uje na majibu uone wangapi wana habari ya story nyuma ya ubunifu. Watu wako interested na mpangilio wa rangi, wala si story hizo, na ukikosea mpangilio wananyong'onyea sana na kuonekana wanyonge. Mfano ni wa zile jezi za majumbajumba maarufu kama sensa ya makazi
Na katika system development, ukikwepa mahitaji ya mteja maisha yako yatakuwa magumu sana... different perspectives za watu kwani dhumuni halikiwa baya bali wapokeaji.
Vimba churaaa