Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ndio binadamu tulivyo mkuu ...
Hili mbona lipo wazi sana?
Ila swahiba wake ana roho ngumu sana, unawezaje kumfanyia ubaya rafiki yako, aliyekusaidia ukatimiza ndoto zako ila wewe unapambana kukatisha zake?
Kumanishaa walipigwa kama ngomaaa au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Malipo ni hapahapa duniani. Hao watu watatu walioshiriki kuchakachua matokeo kila mmoja alikiona cha mtema kuni kutoka kwa waliyemchakachulia matokeo.
Walipewa ubatizo wa moto 😅😅Kumanishaa walipigwa kama ngomaaa au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio binadamu tulivyo mkuu ...
Na atakuwepo mstari wa mbele kbs kumuaga marehemuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HILI LINAJULIKANAView attachment 2900999
Hii ni Taarifa ya kikakamavu aliyoitoa alipohojiwa na MwanaHalisi Digital , ikiwa ni sehemu ya Maombolezo ya Kifo cha Edward Lowassa aliyekuwa Mgombea Urais wa UKAWA
=======
Kwenye jambo hili mengi yamesemwa ikiwemo ofisi moja iliyokuwa Masaki ikiongozwa na watu watatu (majina yanahifadhiwa kwa muda hadi tuzike) , iliyotuhumiwa kuchakachua matokeo halali ya uchaguzi na kuweka matokeo ya mchongo ili kumbeba Mgombea wa ccm aliyedaiwa kuangukia pua
Hili mbona lipo wazi sana?
Ila swahiba wake ana roho ngumu sana, unawezaje kumfanyia ubaya rafiki yako, aliyekusaidia ukatimiza ndoto zako ila wewe unapambana kukatisha zake?
hivi kumbe huyu Mzee ndio alikuga Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi eee🐒View attachment 2900999
Hii ni Taarifa ya kikakamavu aliyoitoa alipohojiwa na MwanaHalisi Digital , ikiwa ni sehemu ya Maombolezo ya Kifo cha Edward Lowassa aliyekuwa Mgombea Urais wa UKAWA
=======
Kwenye jambo hili mengi yamesemwa ikiwemo ofisi moja iliyokuwa Masaki ikiongozwa na watu watatu (majina yanahifadhiwa kwa muda hadi tuzike) , iliyotuhumiwa kuchakachua matokeo halali ya uchaguzi na kuweka matokeo ya mchongo ili kumbeba Mgombea wa ccm aliyedaiwa kuangukia pua
Kumbe Dada upo vizuri Kwenye politics , nilijua upo Kwenye soka tu .Malipo ni hapahapa duniani. Hao watu watatu walioshiriki kuchakachua matokeo kila mmoja alikiona cha mtema kuni kutoka kwa waliyemchakachulia matokeo.
Umechelewa kunijua, mimi ni Team Lowassa 2015, huu ni msiba mkubwa kwangu.Kumbe Dada upo vizuri Kwenye politics , nilijua upo Kwenye soka tu .
Amen.Inajulikana wazi hao shetani waliofanya kazi ya kuchakachua matokeo, ni Januari Makamba na Nape Nnauye; nyuma yao alikuwa Jakaya Kikwete.
Tena waliwafanyia unyama wa hali ya juu ile timu ya Hayati Lowasa iliyokuwa inajumlisha matokeo. Walitumia polisi, wakawanyang'anya computers zao na kwenda kuwarundika mahabusu wakidai hawana mamlaka ya kumjulisha kura alizokuwa amepata Hayati Lowasa RIP.
Hawa ni mashetani, na siku yao itakapofika ya kuondoka Duniani, haya maovu yasikose kutajwa, wasindikizwe nayo.
Tunakuomba Mungu wa huruma umjalie pumziko jema ndugu yetu Edward Lowasa, nao waliodhulumu haki yake, laana ikawe juu yao.
Inaweza kuwa kweli
Hii ni Taarifa ya kikakamavu aliyoitoa alipohojiwa na MwanaHalisi Digital , ikiwa ni sehemu ya Maombolezo ya Kifo cha Edward Lowassa aliyekuwa Mgombea Urais wa UKAWA
=======
Kwenye jambo hili mengi yamesemwa ikiwemo ofisi moja iliyokuwa Masaki ikiongozwa na watu watatu (majina yanahifadhiwa kwa muda hadi tuzike) , iliyotuhumiwa kuchakachua matokeo halali ya uchaguzi na kuweka matokeo ya mchongo ili kumbeba Mgombea wa ccm aliyedaiwa kuangukia pua
View attachment 2901016