Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ni kweli kabisa, soma hii ya Profesa Tibaijuka
Hii ni Taarifa ya kikakamavu aliyoitoa alipohojiwa na MwanaHalisi Digital , ikiwa ni sehemu ya Maombolezo ya Kifo cha Edward Lowassa aliyekuwa Mgombea Urais wa UKAWA
=======
Kwenye jambo hili mengi yamesemwa ikiwemo ofisi moja iliyokuwa Masaki ikiongozwa na watu watatu (majina yanahifadhiwa kwa muda hadi tuzike) , iliyotuhumiwa kuchakachua matokeo halali ya uchaguzi na kuweka matokeo ya mchongo ili kumbeba Mgombea wa ccm aliyedaiwa kuangukia pua