CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Lile zimwi lililoua watu ovyo ndiyo Rais bora?Hayo hayana uthibitisho ni chai kama zilivyo Chai nyingine, ila hakika ni kuwa kupitia uchaguzi wa 2015 tulishuhudia kupata mmojawapo wa Rais Bora zaidi kuwahi kumpata kwenye historia ya nchi hii tokea uhuru na atasalia kudumu hivyo kwa vizazi vingi vijavyo