Juma Duni Haji adai yeye na Lowassa walishinda Urais 2015

Hayo hayana uthibitisho ni chai kama zilivyo Chai nyingine, ila hakika ni kuwa kupitia uchaguzi wa 2015 tulishuhudia kupata mmojawapo wa Rais Bora zaidi kuwahi kumpata kwenye historia ya nchi hii tokea uhuru na atasalia kudumu hivyo kwa vizazi vingi vijavyo
Mbona waliomteua walim........teza
 
Hayo hayana uthibitisho ni chai kama zilivyo Chai nyingine, ila hakika ni kuwa kupitia uchaguzi wa 2015 tulishuhudia kupata mmojawapo wa Rais Bora zaidi kuwahi kumpata kwenye historia ya nchi hii tokea uhuru na atasalia kudumu hivyo kwa vizazi vingi vijavyo
mkuu habari za Geita
 
Hii ni Taarifa ya kikakamavu aliyoitoa alipohojiwa na MwanaHalisi Digital , ikiwa ni sehemu ya Maombolezo ya Kifo cha Edward Lowassa aliyekuwa Mgombea Urais wa UKAWA

=======
Kwenye jambo hili mengi yamesemwa ikiwemo ofisi moja iliyokuwa Masaki ikiongozwa na watu watatu (majina yanahifadhiwa kwa muda hadi tuzike) , iliyotuhumiwa kuchakachua matokeo halali ya uchaguzi na kuweka matokeo ya mchongo ili kumbeba Mgombea wa ccm aliyedaiwa kuangukia pua

Duuh ila nyie binadamu khaa, yeye mwenyewe alikubali yaishe nyie Bado mna ya ndwele mpaka Leo...You never let it go!

Ebu kama Taifa tumsindikize mpendwa wetu na kumwacha apumzike Kwa amani
 
Hii ni Taarifa ya kikakamavu aliyoitoa alipohojiwa na MwanaHalisi Digital , ikiwa ni sehemu ya Maombolezo ya Kifo cha Edward Lowassa aliyekuwa Mgombea Urais wa UKAWA

=======
Kwenye jambo hili mengi yamesemwa ikiwemo ofisi moja iliyokuwa Masaki ikiongozwa na watu watatu (majina yanahifadhiwa kwa muda hadi tuzike) , iliyotuhumiwa kuchakachua matokeo halali ya uchaguzi na kuweka matokeo ya mchongo ili kumbeba Mgombea wa ccm aliyedaiwa kuangukia pua

Shida nini nyumbu tena? Bado hamumtambui samia kuwa nu rais?
 
Back
Top Bottom