CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Lile zimwi lililoua watu ovyo ndiyo Rais bora?Hayo hayana uthibitisho ni chai kama zilivyo Chai nyingine, ila hakika ni kuwa kupitia uchaguzi wa 2015 tulishuhudia kupata mmojawapo wa Rais Bora zaidi kuwahi kumpata kwenye historia ya nchi hii tokea uhuru na atasalia kudumu hivyo kwa vizazi vingi vijavyo
Lowassa amekufa kwa sababu za kisiasaLimbowe eti linaenda msibani huku limevaa magwanda. Yaani linageuza kila kitu kuwa ni siasa tu😩
Kifo ni kifo tu. Hata wewe utakufa. Hakuna cha siasa wala nini hapo.Lowassa amekufa kwa sababu za kisiasa
Yote maisha tu...
Sasa kwanini akakimbia mapambano
Hii ni Taarifa ya kikakamavu aliyoitoa alipohojiwa na MwanaHalisi Digital , ikiwa ni sehemu ya Maombolezo ya Kifo cha Edward Lowassa aliyekuwa Mgombea Urais wa UKAWA
=======
Kwenye jambo hili mengi yamesemwa ikiwemo ofisi moja iliyokuwa Masaki ikiongozwa na watu watatu (majina yanahifadhiwa kwa muda hadi tuzike) , iliyotuhumiwa kuchakachua matokeo halali ya uchaguzi na kuweka matokeo ya mchongo ili kumbeba Mgombea wa ccm aliyedaiwa kuangukia pua