Juma Jux anahitaji support yetu leo than ever

Baada ya Rotimi kuchafua hali ya hewa huko Insta hatimaye dua za Jux zimekua dua za Kuku, kiukweli wengi hawakutaraji na hata Jux mwenyewe alijua
Walishaachana na kumove on hao.
 
Walishaachana jux Ana mambo yake
 
Mabaharia tunaumiaga Kwa mwanamke ambae hatujapiga tuu.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Yani demu ambae hujapiga anaumiza Sana akikuacha yani unakuwa unajiuliza hivi Yuko na mbususu ya Aina Gani.. hahahahhh

Hewalaaaa uliepiga anakipi kipya cha kukuumiza kwa mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…